Raia Mwema: Paul Makonda kushtakiwa Mahakamani kwa matumizi mabaya ya madaraka

Raia Mwema: Paul Makonda kushtakiwa Mahakamani kwa matumizi mabaya ya madaraka

Ramli imeanza kupigwa....soon mtu anachomolewa kitaa anachomekwa kwenye nondo
 
Huyo ilikuwa ni suala la muda tu ili aionje radha na uzuri wa jela.

Aliwasingizia watu wasiyo na hatia na kuwaweka ndani kisa babake yupo ikulu.

Akushitakiwa nitakuwa wa kwanza kushehekea tena bila kificho.
Zamu yako yaja!
 
Nakumbuka sana jinsi alivyo wapakazia kina Mbowe na kina Majizo na Manji kesi za madawa ya kulevya.

Jamaa alikuwa anajioni ni Mungu mtu wakati Mungu hana tabia za kiuwaji kama huyu .
Debe tangu lini likahifadhi kumbukumbu wewe!
 
1.matumizi mabaya ya madaraka
2.kuwanyima watu haki ya kuishi
3.Kumiliki na kuendesha magenge ya wasiojulikana
5.Kuvamia, kuharibu na kupora ofisini
6.kutumia vyeti feki kujipatia ajira na kuibia serikali
7.Kuwadhalilisha watu kwa kuwabambika kesi
8.Kutishia kudhuru, kuumiza,kuuwa wakosoaji
9.Matumizi mabaya ya ofisi
10.nk zinafika hata 20
 
Mjomba wako makonda ataning'inizwa kwa pilato
Neno jinai haifi linamtesa Sana bashite maana ajui hatima ya future yake hata kama analindwa na mama sasa hivi.Siku zaja aliowaumiza ndo watashika mpini.
Ndumba upunguza uwezo wa kufikiri kwa kukupa matumaini feki
 
Sahihi
 
Back
Top Bottom