Raia Mwema: Paul Makonda kushtakiwa Mahakamani kwa matumizi mabaya ya madaraka

Raia Mwema: Paul Makonda kushtakiwa Mahakamani kwa matumizi mabaya ya madaraka

Atueleze alipata wapi pesa ya kununua Range Rover sport ilhali mshahara wake unajulikana.
Huyo Makonda is untouchable, hata source of income hazikuulizwa na Raisi Magufuli wala TAKUKURU.
Ikiwa alidiriki kumlaba makofi Waziri Mkuu mstaafu Jaji Warioba tena akiwa tu mpiga debe wa chama bila kuchukuliwa hatua zozote,akazawadiwa u DC Kinondoni na JK ujue Makonda ni matawi ya juu sana.
Nape alitumbuliwa uwaziri sababu yake.
Gwajima alipimwa mkojo sababu yake
Makonda ana kinga ya kutoguswa hadi serikali ya Marekani ikampiga ban,sio mtu wa kawaida is above the law.
 
Hujui sheria wewe
Kosa linaloitwa matumizi mabaya ya madaraka ni gumu kulitolea ushahidi mbele mahakama ya haki bila kuonyesha kuwa alitumia madaraka hayo kujinufaisha yeye binafsi na familia yake.

Akitumia madaraka hayo kukutisha linaweza liswe kosa la jinai bila viongezi vingine.
 
Hujui sheria wewe
Watu mbumbumbu ni wepesi sana kujikweza kuwa ni wajuzi na kuwanyoonyesha wenzao vidole kuwa hao hajaui kitu. Kwa taarifa yako, hata kama mimi siyo attorney, usiombe tukutane mahakamani kama sitakusukuma jela. Mimi ni Injinia, lakini pia nimeshasoma sheria sana hasa Tort Law, Law of Contracts, Law of Evidence, Intellectual Property Law, na Constitutional Law (USA). Mwezi May Mwakani nitakamilisha J.D yangu kutoka New Hampshire. Ukitaka sema nikualike kwenye sherehe hiyo, au tutengenezeane kesi ili tukutane mahakamani nikutupe jela.
 
Hahahahaha kweli wew hamnazo kabisa ! ungekuwa ndugu yangu ningebadilishana na gunia la ufuta.Eti nimesoma hiki na kile so what???? ukiwa na elimu ya hapa na pale ni hopeless kabisa.So sad yaani
Watu mbumbumbu ni wepesi sana kujikweza kuwa ni wajuzi na kuwanyoonyesha wenzao vidole kuwa hao hajaui kitu. Kwa taarifa yako, hata kama mimi siyo attorney, usiombe tukutane mahakamani kama sitakusukuma jela. Mimi ni Injinia, lakini pia nimeshasoma sheria sana hasa Tort Law, Law of Contracts, Law of Evidence, Intellectual Property Law, na Constitutional Law (USA). Mwezi May Mwakani nitakamilisha J.D yangu kutoka New Hampshire. Ukitaka sema nikualike kwenye sherehe hiyo, au tutengenezeane kesi ili tukutane mahakamani nikutupe jela.
 
Nafikiri post hii umeituma ukiwa kituo cha afya kwenye foleni ya kuchukua doze ndio mwezi wenyewe umeandama!
Aliyekubali kutapeliwa asubuhi hii ndiyo katuletea balaha hii maana si kwa mate haya
 
Back
Top Bottom