Sawa mkuu, ngoja nigoogle katiba nipate mawili matatuKatiba ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977, ibara ya 37 (5) ; inasomwa pamoja na ibara ya 40.
Ambapo, Rais mteule (makamu wa Rais) , kama atashika nafasi ya Urais kwa muda wa chini ya miaka mitatu, ataruhusiwa kugombea kwa awamu mbili zingine.
Ambapo, Rais mteule (makamu wa Rais) , kama atashika nafasi ya Urais kwa muda wa zaidi ya miaka mitatu, ataruhusiwa kugombea tena kwa awamu moja tu.
Nataka kufahamu tuBwana bwana umewaza nini wewe?
Hii ni katiba ya nchi ipi Mkuu wa Majeshi anachukua nchi? Likitokea la kutokea?Kiutaratibu mkuu wa majeshi hushikilia kitu kwa muda hadi tume ya uchaguzi itakapoamua au mpaka miaka ambayo ilikuwa ndo mwisho wake kura zipigwe tena..
Anaenda kuzikwa
Kiukweli this is Tanzania yaani nchi pekee duniani watu kama ww ambao huamini raisi huwa hafi hupatikanaUnamaana gani? Au umeonyeshwa nini. Ama unategemea nini kutomea. Usituleteye laana na misiba
Msitishe watu, hakuna ambaye hafi, hivyo si kosa kuwaza akifa Leo itakuwaje. After roll tangu tupate Uhuru hajawahi kufa raisi akiwa madarakani, hivyo si vibaya kuwaza ili tujue likitokea inakuwaje. Hata mkimuogopa vipi (maana si kweli kuwa mnampenda) Siku moja atakufa tu.Jitafakari. Usitafute kiki za kina Sosopi mitandaoni. Mwisho wa siku utasumbua watu kutafuta wadhamini wa kukuwekea dhamana Mahakamani.
Katiba inasemaje?maswali yenye uhaini toka kwa hayawani
Sijaona kosa la mtoa mada,Jitafakari. Usitafute kiki za kina Sosopi mitandaoni. Mwisho wa siku utasumbua watu kutafuta wadhamini wa kukuwekea dhamana Mahakamani.
Katiba inasemaje kuhusu hili,wajuzi naomba kujua iwapo Rais atafariki kabla ya kumaliza muda,nini kinafuata!!!
Kangi lugola÷"kifo ni mtego na humkuta mtu mahali popote na wakati wowote"
Mlisema hivyo hivyo juu ya Mwenyekiti wenu Ayatollah Mbowe Khomeini ...yuko wapi sasa hivi!?
Kweli Kabisa, hakuna jibu la maana lililotolewaHii topic inaelekea siko!
Mkasome habari za wasudukayo....walimwuliza ikiwa mtu akaoa mke akafa bila kumpatia mtoto, na kaka yake akamwoa mjane naye hakumwachia mtoto...ikaendelea hivyo hivyo kwa waliofatia...je siku ya ufufuo atahesabika mke wa nani?Nadhani mkuu unawaandaa watu kuikubali hali iwapo punde atakufa.. nawewe ushaukwaa ushehe nini... katiba iko wazi juu ya hilo na hata na hata atakaemwachia nae akifa..chukua muda kidogo uipitie utajifunza mengi.