Bome-e
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 17,179
- 26,188
Sawa mkuu, ngoja nigoogle katiba nipate mawili matatuKatiba ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977, ibara ya 37 (5) ; inasomwa pamoja na ibara ya 40.
Ambapo, Rais mteule (makamu wa Rais) , kama atashika nafasi ya Urais kwa muda wa chini ya miaka mitatu, ataruhusiwa kugombea kwa awamu mbili zingine.
Ambapo, Rais mteule (makamu wa Rais) , kama atashika nafasi ya Urais kwa muda wa zaidi ya miaka mitatu, ataruhusiwa kugombea tena kwa awamu moja tu.