Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huna katiba, kwani huwezi kui download?Sina katiba
Sasa kama hata katiba huna unatafuta nini hapa? kasome kwanza ndo uje kuleta hoja yako.Na naona MS inabadilika sasa inakuwa HIV suguSina katiba
Una hatari wewe ikitokea akafariki kweli!!!Hata kama ningekuwa wa Limchele bado nauliza Rais akifa kikatiba anarithi nani?
Sina katiba
Angalau umenipa matumaini ya kimungu ,sasa sisi au wale tutakaokuwepo ,si umeliona suali ,lenyewe na sikusudii kumlenga yeyote ,ila sina katiba ya Tanzania nilimuazima jamaa hadi leo na ukimuuliza anakwambia nitakuletea hadi nimeisamehe ila yeye sijamsamehe.Akifariki itakuwa poa tu. Ni kutimia kwa maandiko.
Akifariki itakuwa poa tu. Ni kutimia kwa maandiko.