Rais anapofia madarakani, utaratibu ni upi kwa sheria za nchi yetu?

Rais anapofia madarakani, utaratibu ni upi kwa sheria za nchi yetu?

Mzee mbona umewaza mbali sana? 😀😀😀😀😀😀😀 Umeona nini?
 
Nimeuliza swali,na nadhani katiba inatambua mazingira kama haya!
Nimekupa angalizo tu! Uamuzi ni juu yako. Kupanga ni kuchagua....ila muda mwingine unaweza kupanga lakini wengine ndio wakakuchagulia hatma yako.
 
Katiba inasemaje kuhusu hili,wajuzi naomba kujua iwapo Rais atafariki kabla ya kumaliza muda,nini kinafuata!!!
Mkuu, kwa kuuliza tu hili swali kwa sheria za hapa kwetu unaweza ukashataki wallah....tehteehh
 
Mama Samia atachukua nchi hadi uchaguzi ufanyike na marehemu atazikwa kitaifa kwa mahudhurio makubwa kama Mwl.
 
Back
Top Bottom