Rais anapofia madarakani, utaratibu ni upi kwa sheria za nchi yetu?

Rais anapofia madarakani, utaratibu ni upi kwa sheria za nchi yetu?

Inategemea mnamuongelea nani, kuna mmoja automatically anachukua cheo chake alichojiwekea akiba.."kiranja wa malaika"
 
Mama Samia atachukua nchi hadi uchaguzi ufanyike na marehemu atazikwa kitaifa kwa mahudhurio makubwa kama Mwl.
Nauliza tu,uchaguzi unaitwa immediately au wanasubiri mpaka term iishe??
 
Rais Donald Trump ukimtukana anakuanzishia uzi maalum twitter kwaajili yako. Alivyo mshankunaku huyu kiumbe, utafurahi na roho yako[emoji18]
tweet5-1.jpg
tweet6-1.jpg
tweet22-1.jpg
tweet11-1.jpg
 
Katiba inasemaje kuhusu hili,wajuzi naomba kujua iwapo Rais atafariki kabla ya kumaliza muda,nini kinafuata!!!
UCHURO wako mtyaaaammm sana[emoji12] [emoji108] [emoji61]
hii inaweza kutokea kama lini vile?
tuandae sanda zake[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji22] [emoji22] [emoji22] [emoji61] [emoji61] [emoji61]
 
Back
Top Bottom