Rais anapofia madarakani, utaratibu ni upi kwa sheria za nchi yetu?

Inategemea mnamuongelea nani, kuna mmoja automatically anachukua cheo chake alichojiwekea akiba.."kiranja wa malaika"
 
Mama Samia atachukua nchi hadi uchaguzi ufanyike na marehemu atazikwa kitaifa kwa mahudhurio makubwa kama Mwl.
Nauliza tu,uchaguzi unaitwa immediately au wanasubiri mpaka term iishe??
 
Katiba inasemaje kuhusu hili,wajuzi naomba kujua iwapo Rais atafariki kabla ya kumaliza muda,nini kinafuata!!!
UCHURO wako mtyaaaammm sana[emoji12] [emoji108] [emoji61]
hii inaweza kutokea kama lini vile?
tuandae sanda zake[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji22] [emoji22] [emoji22] [emoji61] [emoji61] [emoji61]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…