Ni mara ngapi serikali imekuwa ikishindwa kesi mahakamani?
Rais wa Chama cha Mawakili wa Serikali Tanzania (TPBA), Bavoo Junus, amewaonya wananchi kuepuka kujadili masuala ya kisheria bila kuwa na uelewa wa kutosha, akisema kitendo hicho kinasababisha upotoshaji unaoweza kudhoofisha imani ya jamii kwa taasisi za sheria.
Akizungumza leo Ijumaa, Septemba 12, 2025, jijini Dodoma katika Kikao cha Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali na wahariri wa vyombo vya habari, Bavoo amesema baadhi ya watu wamekuwa wakitoa tafsiri potofu za sheria katika majukwaa mbalimbali bila kuwa na utaalamu wowote, jambo linaloweza kuwachanganya wananchi na hata kuchochea vurugu.
“Hakuna mtu nje ya serikali anayeijua sheria kuliko sisi. Sisi ndio hupitia, kuchambua na kuhakikisha kila sheria inazingatia maslahi ya taifa kabla haijafika popote. Niwaombe wasio na uelewa juu ya sheria waache kupotosha umma,” amesema Bavoo.
Bavoo amesisitiza kuwa mawakili wa serikali ni walinzi wa sheria kwa niaba ya serikali, na jukumu lao ni kuhakikisha kila sheria inayopitishwa ina msingi imara na inalinda maslahi ya taifa.
Aidha, amewaonya wale wanaopotosha sheria bila weledi kuwa kitendo hicho kinadhoofisha imani ya wananchi kwa mifumo ya kisheria na kuibua tafsiri zisizo sahihi za namna sheria zinavyofanya kazi.
Katika maelezo yake, Bavoo pia ametoa wito kwa mawakili wa serikali kushirikiana na serikali kufanya tathmini makini ya sheria zote, hasa zile zinazohusu mikataba ya rasilimali za taifa, ili kuhakikisha mikataba hiyo inaleta manufaa kwa Watanzania wote.
.........Mikataba mingapi serikali yetu imeingia chaka mwisho wa siku tunaangukia pua, ujuaji wao wa sheria wanautumia wapi?

Duuuuuuuuuuh

Idiots aren’t in short supply in Chura Kiziwi’s government!

Mbona hamuwezi kutafsiri sheria? Hamuwezi lolote, hamjui lolote mapumbavu nyiye. Hamjui lolote wajinga nyie. Mnaficha makaratasi ya mahakama yanachezewa. Mbona mikataba yote imefeli kwa sababu ya upumbavu wenu. Tumedaiwa mara ngapi na tumeshindwa huko duniani, ndege za ATC zimeshikwa na tukalipishwa, Mlikuwa wapi paka ninyi?Tangu lini watu wamekuwa treated equal, Wewe Samia, Mpango na Majaliwa wameitwa mahakamani mmewakataaa, sasa mnasema sheria zipo equal kwa kila mtu, mtaendelea kusema uongo hadi lini?