Anayo vpn?! Ngoja nimuite legend na kada mtiifu kama anabunka Sheria za tcra kama sisi za kuwa na vpnMayalla njoo huku umsikilize wakili msomi mwenzio...hahaha...
Eti sisi?....low I.Q ni tatizo sana....vipi kuhusu aliekufundisha chuo kikuu?...
Kihiyo kweli huyu jamaa
Nchi ina WAPUMBAVU wengi sana.
Rais wa Chama cha Mawakili wa Serikali Tanzania (TPBA), Bavoo Junus, amewaonya wananchi kuepuka kujadili masuala ya kisheria bila kuwa na uelewa wa kutosha, akisema kitendo hicho kinasababisha upotoshaji unaoweza kudhoofisha imani ya jamii kwa taasisi za sheria.
Akizungumza leo Ijumaa, Septemba 12, 2025, jijini Dodoma katika Kikao cha Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali na wahariri wa vyombo vya habari, Bavoo amesema baadhi ya watu wamekuwa wakitoa tafsiri potofu za sheria katika majukwaa mbalimbali bila kuwa na utaalamu wowote, jambo linaloweza kuwachanganya wananchi na hata kuchochea vurugu.
“Hakuna mtu nje ya serikali anayeijua sheria kuliko sisi. Sisi ndio hupitia, kuchambua na kuhakikisha kila sheria inazingatia maslahi ya taifa kabla haijafika popote. Niwaombe wasio na uelewa juu ya sheria waache kupotosha umma,” amesema Bavoo.
Bavoo amesisitiza kuwa mawakili wa serikali ni walinzi wa sheria kwa niaba ya serikali, na jukumu lao ni kuhakikisha kila sheria inayopitishwa ina msingi imara na inalinda maslahi ya taifa.
Aidha, amewaonya wale wanaopotosha sheria bila weledi kuwa kitendo hicho kinadhoofisha imani ya wananchi kwa mifumo ya kisheria na kuibua tafsiri zisizo sahihi za namna sheria zinavyofanya kazi.
Katika maelezo yake, Bavoo pia ametoa wito kwa mawakili wa serikali kushirikiana na serikali kufanya tathmini makini ya sheria zote, hasa zile zinazohusu mikataba ya rasilimali za taifa, ili kuhakikisha mikataba hiyo inaleta manufaa kwa Watanzania wote.
Kwahiyo Ni yeye anapowalaza na viatu ni kwamba wale ndo vipanga wao?

Iptl, kadco,net group,escrow, hela zao au zetu au standard charted bank ya Hong Kong, , Kesi za Uhaini ya machame, ya Mbowe, ,

Naye bila shaka ni “kiswaga”😂😂huyo jamaa mbona hamnazo
Ni zaidi ya ku'panic', kwa sababu matumaini yao yote yapo kwa Tundu Lissu kutokuwa huru ili mipango yao haramu ya kulazimisha waendelee madarakani ikamilike.
Kujuwa ni kiasi gani nchi yetu ilivyo vurugika, ni kuwasikiliza hawa wachumia tumbo wakati kama huu.Rais wa Chama cha Mawakili wa Serikali Tanzania (TPBA), Bavoo Junus, amewaonya wananchi kuepuka kujadili masuala ya kisheria bila kuwa na uelewa wa kutosha, akisema kitendo hicho kinasababisha upotoshaji unaoweza kudhoofisha imani ya jamii kwa taasisi za sheria.
Hapo ndio ameuthibitishia umma kwamba aidha hana akili au hana kumbukumbu.Aache ujinga.
Hao mawakili huwa wanakuwa wapi tunaposhindwa kesi za mikataba ya kimataifa?.