Rais Dr. Samia jaribu na kumtumia na Pascal Mayalla kwenye serikali yako ninahakika atafanya vizuri

Umri wake unaujua au unaongea tu pasco ana 52 yrs tu sasa hapo unasemaje umri umeenda?

 
Kama alishindwa kumchukua akiwa amegombea ubunge wa EALA akakatwa mapema sana basi asitegemee lolote, huwezi kufanikiwa.
Mkuu masterpiece, kiukweli kabisa kwenye EALA, nilikwa na sifa zote, ila pia mapito yangu enzi zile hayakuwa mema, hivyo kwenye uzee huu, ninavuna kile nilichokipanda kwenye ujana!.
P
 
Rais Dr. Samia jaribu na kumtumia na Pascal Mayalla kwenye serikali yako ninahakika atafanya vzuri.
Sawa ila ni mtu mzima sasa

mm napendelea rais angefanya kazi zaidi na vijana vina wadogo wenye maono na wenye kujua dunia inataka nini na tanzania inatakiwa iweje..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…