Rais Macron wa Ufaransa amwambia Netanyahu asisahau kuwa Israel imepatikana kwa azimio la Umoja wa mataifa 1948 hivyo aache kuidharau

Utajuaje kuwa ww ni dumb person? Empty mind?
Ni pale unapo amini habari ya chanzo kisicho Cha uhakika na unaamini ni kweli kisha unataka watu wote' waamini et kisa tu imekuwa twitts ya online!
 
Una umri gani' aisee ..Katika taifa la kwanza kuunga mkono undwaji wake ni urusi Sasa ww cjui Hizo bla bla unatoa wapi.
Shusha linki za habar kuwa Russia alipinga
 
Tupe mstari hata mmoja unaotaja neno Palestine ndani ya Qur'an tukufu. Mmoja tu; wala sio miwili.
Hivyo vitabu vyote vimeandikwa na watu muachage upumbavu , Mungu kama angekuwa ana hitaji hayo yote why aandike kitabu nakumpatia mtu mmoja Tu ili awasambazie wengine !?

Huoni kuwa Hiyo njia ya kumpa kitabu huyo mtu mmoja pasipo kuwepo ushahidi wowote ule Ni sehemu Moja wapo ya chanzo cha matatizo

Hizvi Leo mimi nilale kisha niamke nije nikuambie kuwa Mungu kaniambie uniachie mkeo Kwa kuwa mimi ni mtume na ninaijua elimu ya kiroho utanielewa kweli wewe , !?

Hivi mbona jamii za waafrica hazina akili kiasi hiki

Yaani Una Muamini mtu aliyelala na kuamka kisha asubuhi akaitisha mkutano na kuwaambia watu kuwa usiku wa Jana alipata kwenda mbinguni na kukabidhiwa sala na Mungu 🤣🤣🤣😁
Na mwingine Ana kuambia kuwa alitembea juu ya maji ,

Then na watu mnaamini , Acheni ujinga
 
Hakuna watu wanaitwa wapalestina , Palestina iliundwa na jamii 3 waislam ( Leo wanadai wao ndo wapalestina ) , wakristu na wayaudi
Kwani makabila na utaifa huwa unaanzaje !? Sindio hivyo hivyo Tu

Leo tuna waita watu kutoka Zanzibar kuwa ni wazanzibar Kwa kuwa miongoni mwao wamezaliwa hapo lakini original ya ancestors wao ni watu mbali mbali waliotoka msumbiji Mombasa Tanganyika Oman etc kwenda visiwa vya pemba kufanya biashara, Baada ya kukaa hapo muda mrefu na kuzaliana ndio umoja wao umesababisha kupatikana Kwa Zanzibar,

The same Kwa Raia wa misri wa sasa -Misri ya kale haikuwa ya waarabu ilikuwa ni ya watu weusi , it's the same Kwa Taifa la USA Zamani kabla Taifa la USA halijaundwa kabla Christopher Columbus hajafika kule wenyeji wa kule si-walikuwa ni wahindi wekundu , mbona hayo hamyasemi , Sipo hapa kwaajili ya kutetea upalestina wala uisrael lakini ukweli ni kwamba hoja yenu mnayo ing'ang'aniaga ni hoja dhaifu Sana 🤣

Wakazi wa maeneo husika huwa Wana badilika kutokana na Aina ya mazingira ya kidunia yaliyopo
 
Jinga Hilo achana nalo 🤣🤣
 
Very unfortunately wapaletina wanakosa backup ya "mistari" kwenye hili. Wangekuwa nayo dunia ingekoma.
 
Tupe mstari hata mmoja unaotaja neno Palestine ndani ya Qur'an tukufu. Mmoja tu; wala sio miwili.
😂😂😂 mbona kama unabadilisha kiaina hoja inayojadiliwa hapa ? Macron hajataja bibilia Wala Quran kwenye tamko lake ajabu wachangiaji mnaingiza bibilia na Quran jamani nimetoka angalizo wazee wa miaka 3000 hapa siyo mahala pake.
 
Hakuna watu wanaitwa wapalestina , Palestina iliundwa na jamii 3 waislam ( Leo wanadai wao ndo wapalestina ) , wakristu na wayaudi
Yani hapa ni sawa na useme hakuna watu wanaoitwa watanzania ila Kuna wachaga, wagogo , wamasai n.k
 
Rais Macron HANA UBAVU wa kupambana na Israel. Time will tell.
Nani kasema macron anapambana na Israel? Israel ana survive kwa support ya nchi za ulaya na Marekani kwa silaha na fedha. Macron amemweleza tu ukweli kuwa asijisahau nchi yake imetoka wapi. Na siyo kosa mtu kuambiwa ukweli naona mnajitahidi kukwepa point ya bwana macron.
 
Mbona Macron anamuandama sana Netanyau,kuna nini kinasababisha mtifuano kati yao?
Netanyahu kiburi sana halafu anajisahaulisha kuwa kanchi kake fake kametoka wapi. UN kwa shinikizo la Marekani walitoa resolution ya kuundwa kwa taifa la Israel kwa kuigawa palestina kuwe na mataifa mawili. Chaa jabu kwa sasa Netanyahu hataki hata kusikia kitu kinaitwa taifa la palestina na Wanaendelea kuwaondoa wapalestina katika ardhi Yao kuwa weka walowezi wa kiyahudi. Hii siyo sawa hata kidogo
 
😂😂😂 mbona kama unabadilisha kiaina hoja inayojadiliwa hapa ? Macron hajataja bibilia Wala Quran kwenye tamko lake ajabu wachangiaji mnaingiza bibilia na Quran jamani nimetoka angalizo wazee wa miaka 3000 hapa siyo mahala pake.
Huo mstari haupo! Lau ungekuwepo dunia ingepata tabu sana! Mola mlezi ni mjuvi kweli kweli.
 
Utajuaje kuwa ww ni dumb person? Empty mind?
Ni pale unapo amini habari ya chanzo kisicho Cha uhakika na unaamini ni kweli kisha unataka watu wote' waamini et kisa tu imekuwa twitts ya online!
🚮🗑🚮
Wewe pimbi, nani kakwambia kuna chanzo kimoja?!!!

Kwani hiyo ni dissertation hadi niweke rejea zote chungu nzima humu?!!
 
Acha kuingiza warabu wengine hapo Palestina. Hakuna mwarabu aliyemsaidia mpalestina kupambana na wavamizi wote wanafiki tu tangu kavamiwa palestina anapambana mwenyewe tu labda kidogo kwa sasa hao Hezbollah na Yemen wanaonesha nia ya kusaidia.
 
Kumbe mnajua yote haya mpaka familia iliyounda hilo taifa fake na kwa uvamizi wa nguvu sasa ubishi mnaoleta Huwa ni wanini?
 
Good aambiwe ukweli kabisa whether mchungu maana jamaa anabwatuka bwatuka tu. Ukimwendekeza mtoto atakunyea.
 
Very unfortunately wapaletina wanakosa backup ya "mistari" kwenye hili. Wangekuwa nayo dunia ingekoma.
Acha upumbavu hapa hatujadili mistari ya dini ,bali hapa tunajadiri sheria za kimataifa.
Dunia haiongozwi na mistari ya biblia bali inaongozwa na miongozo ya umoja wa mataifa iliyo anzishwa baada ya vita ya 2 ya dunia.

Dunia ina zaidi ya watu billion 8 hali yakuwa wanao amini biblia hawazidi bilion mbili ambao ni sawa na robo tu ya watu wote hapa duniani walio baki wote hawaamini kwenye hizo tumba za biblia wakiwemo hao wayahudi ambao uko hapa unawalamba miguu.
Urokole umewafanya waafrica wengi kuwa wapumbavu kupitiliza na ndio maana nchi zinazo jielewa zimeupiga marufuku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…