Rais Macron wa Ufaransa amwambia Netanyahu asisahau kuwa Israel imepatikana kwa azimio la Umoja wa mataifa 1948 hivyo aache kuidharau

Rais Macron wa Ufaransa amwambia Netanyahu asisahau kuwa Israel imepatikana kwa azimio la Umoja wa mataifa 1948 hivyo aache kuidharau

Wakikuteka wakakukula kichwa kama kawaida yao mie simo..

Hiyo haiondoi ukweli kuwa Macron ni hamnazo!

Ni makosa kulaumu anayejilinda baada ya kuvamiwa na matapeli, wezi, wanyang'anyi, wauaji makatili...

View: https://x.com/sanderson17280/status/1774137548605993180?t=s7Qp7LsCkxnF0Cg5nKuU5g&s=09

Utajuaje kuwa ww ni dumb person? Empty mind?
Ni pale unapo amini habari ya chanzo kisicho Cha uhakika na unaamini ni kweli kisha unataka watu wote' waamini et kisa tu imekuwa twitts ya online!
 
Kafuatilie vita vya Arabs na Israel ujue France na Russia walikuwa side gani? ndio utajua Marcon anamaana gani...

Anajua Hezbollah wanampango gani n.k Israel akiwa anatetea uhai wake hamna kima atasimama mbele aachwe na ujinga wake kisa kuogopa waislam wapumbavu wenye nie mbaya na iliyo wazi.. Ogopa watu wanaojifanya victims kwa matatizo waliyoyatengeneza wao.. France anaijua vizuri Hezbollah hata vita ile ya kuondosha PLO ya Arafat France ndie aliingilia PLO ikapona akapeleka jeshi kusimamia amani na akaacha Hezbollah wajijenge na kuhamishwa uhamishoni Africa.. Kwa kipi France anachokipendea kwa Israel zaidi ya unafiki tu
Una umri gani' aisee ..Katika taifa la kwanza kuunga mkono undwaji wake ni urusi Sasa ww cjui Hizo bla bla unatoa wapi.
Shusha linki za habar kuwa Russia alipinga
 
Tupe mstari hata mmoja unaotaja neno Palestine ndani ya Qur'an tukufu. Mmoja tu; wala sio miwili.
Hivyo vitabu vyote vimeandikwa na watu muachage upumbavu , Mungu kama angekuwa ana hitaji hayo yote why aandike kitabu nakumpatia mtu mmoja Tu ili awasambazie wengine !?

Huoni kuwa Hiyo njia ya kumpa kitabu huyo mtu mmoja pasipo kuwepo ushahidi wowote ule Ni sehemu Moja wapo ya chanzo cha matatizo

Hizvi Leo mimi nilale kisha niamke nije nikuambie kuwa Mungu kaniambie uniachie mkeo Kwa kuwa mimi ni mtume na ninaijua elimu ya kiroho utanielewa kweli wewe , !?

Hivi mbona jamii za waafrica hazina akili kiasi hiki

Yaani Una Muamini mtu aliyelala na kuamka kisha asubuhi akaitisha mkutano na kuwaambia watu kuwa usiku wa Jana alipata kwenda mbinguni na kukabidhiwa sala na Mungu 🤣🤣🤣😁
Na mwingine Ana kuambia kuwa alitembea juu ya maji ,

Then na watu mnaamini , Acheni ujinga
 
Hakuna watu wanaitwa wapalestina , Palestina iliundwa na jamii 3 waislam ( Leo wanadai wao ndo wapalestina ) , wakristu na wayaudi
Kwani makabila na utaifa huwa unaanzaje !? Sindio hivyo hivyo Tu

Leo tuna waita watu kutoka Zanzibar kuwa ni wazanzibar Kwa kuwa miongoni mwao wamezaliwa hapo lakini original ya ancestors wao ni watu mbali mbali waliotoka msumbiji Mombasa Tanganyika Oman etc kwenda visiwa vya pemba kufanya biashara, Baada ya kukaa hapo muda mrefu na kuzaliana ndio umoja wao umesababisha kupatikana Kwa Zanzibar,

The same Kwa Raia wa misri wa sasa -Misri ya kale haikuwa ya waarabu ilikuwa ni ya watu weusi , it's the same Kwa Taifa la USA Zamani kabla Taifa la USA halijaundwa kabla Christopher Columbus hajafika kule wenyeji wa kule si-walikuwa ni wahindi wekundu , mbona hayo hamyasemi , Sipo hapa kwaajili ya kutetea upalestina wala uisrael lakini ukweli ni kwamba hoja yenu mnayo ing'ang'aniaga ni hoja dhaifu Sana 🤣

Wakazi wa maeneo husika huwa Wana badilika kutokana na Aina ya mazingira ya kidunia yaliyopo
 
Kama wapalestina hawana haki ya kuwa na taifa kwa sababu hawakutajwa na mungu.
Nyinyi watz mme tajwa kwenye kifungu gani cha vitabu vya dini mpaka mkawa na taifa?

Mm ubinadamu ninaujua tangu kuzaliwa kwangu na ndio maana sijawahi huunga mkono maovu yanayo fanywa dhidi ya binadamu wenzangu.
Alafu maswali yangu hujanijibu vipi hiyo nchi ya ahadi ingekuwa ni TZ ww ungekubali kuwapatia akina Netanyau mali zako zote alafu ww uende kuishi kwenye kambi za wakimbizi?
Jinga Hilo achana nalo 🤣🤣
 
Very unfortunately wapaletina wanakosa backup ya "mistari" kwenye hili. Wangekuwa nayo dunia ingekoma.
 
Tupe mstari hata mmoja unaotaja neno Palestine ndani ya Qur'an tukufu. Mmoja tu; wala sio miwili.
😂😂😂 mbona kama unabadilisha kiaina hoja inayojadiliwa hapa ? Macron hajataja bibilia Wala Quran kwenye tamko lake ajabu wachangiaji mnaingiza bibilia na Quran jamani nimetoka angalizo wazee wa miaka 3000 hapa siyo mahala pake.
 
Hakuna watu wanaitwa wapalestina , Palestina iliundwa na jamii 3 waislam ( Leo wanadai wao ndo wapalestina ) , wakristu na wayaudi
Yani hapa ni sawa na useme hakuna watu wanaoitwa watanzania ila Kuna wachaga, wagogo , wamasai n.k
 
Rais Macron HANA UBAVU wa kupambana na Israel. Time will tell.
Nani kasema macron anapambana na Israel? Israel ana survive kwa support ya nchi za ulaya na Marekani kwa silaha na fedha. Macron amemweleza tu ukweli kuwa asijisahau nchi yake imetoka wapi. Na siyo kosa mtu kuambiwa ukweli naona mnajitahidi kukwepa point ya bwana macron.
 
Mbona Macron anamuandama sana Netanyau,kuna nini kinasababisha mtifuano kati yao?
Netanyahu kiburi sana halafu anajisahaulisha kuwa kanchi kake fake kametoka wapi. UN kwa shinikizo la Marekani walitoa resolution ya kuundwa kwa taifa la Israel kwa kuigawa palestina kuwe na mataifa mawili. Chaa jabu kwa sasa Netanyahu hataki hata kusikia kitu kinaitwa taifa la palestina na Wanaendelea kuwaondoa wapalestina katika ardhi Yao kuwa weka walowezi wa kiyahudi. Hii siyo sawa hata kidogo
 
😂😂😂 mbona kama unabadilisha kiaina hoja inayojadiliwa hapa ? Macron hajataja bibilia Wala Quran kwenye tamko lake ajabu wachangiaji mnaingiza bibilia na Quran jamani nimetoka angalizo wazee wa miaka 3000 hapa siyo mahala pake.
Huo mstari haupo! Lau ungekuwepo dunia ingepata tabu sana! Mola mlezi ni mjuvi kweli kweli.
 
Utajuaje kuwa ww ni dumb person? Empty mind?
Ni pale unapo amini habari ya chanzo kisicho Cha uhakika na unaamini ni kweli kisha unataka watu wote' waamini et kisa tu imekuwa twitts ya online!
🚮🗑🚮
Wewe pimbi, nani kakwambia kuna chanzo kimoja?!!!

Kwani hiyo ni dissertation hadi niweke rejea zote chungu nzima humu?!!
 
Kafuatilie vita vya Arabs na Israel ujue France na Russia walikuwa side gani? ndio utajua Marcon anamaana gani...

Anajua Hezbollah wanampango gani n.k Israel akiwa anatetea uhai wake hamna kima atasimama mbele aachwe na ujinga wake kisa kuogopa waislam wapumbavu wenye nie mbaya na iliyo wazi.. Ogopa watu wanaojifanya victims kwa matatizo waliyoyatengeneza wao.. France anaijua vizuri Hezbollah hata vita ile ya kuondosha PLO ya Arafat France ndie aliingilia PLO ikapona akapeleka jeshi kusimamia amani na akaacha Hezbollah wajijenge na kuhamishwa uhamishoni Africa.. Kwa kipi France anachokipendea kwa Israel zaidi ya unafiki tu
Acha kuingiza warabu wengine hapo Palestina. Hakuna mwarabu aliyemsaidia mpalestina kupambana na wavamizi wote wanafiki tu tangu kavamiwa palestina anapambana mwenyewe tu labda kidogo kwa sasa hao Hezbollah na Yemen wanaonesha nia ya kusaidia.
 
Familia ya Trillionea Major Rothschild ndio imeunda Jewish State of Israel not France.. Rothschild ndie mfadhiri wa Mataifa makubwa yote ikiwepo France la sivyo yengeshakufa siku nyingi kasome historia... Marcon nadhani hana muda mrefu atakaa bench.

Familia ya Rothschild inasema ina haki ya kutawala Dunia kwani wana DNA ya kimiungu ya kale utake usitake

Challenges

Emmanuel Macron et Rothschild, l'éternelle machine à fantasmes - Challenges'éternelle machine à fantasmes - ChallengesEmmanuel Macron et Rothschild, l'éternelle machine à fantasmes - Challenges'éternelle machine à fantasmes - Challenges

Emmanuel Macron et Rothschild, l'éternelle machine à fantasmes - Challenges

Kumbe mnajua yote haya mpaka familia iliyounda hilo taifa fake na kwa uvamizi wa nguvu sasa ubishi mnaoleta Huwa ni wanini?
 
Naona Rais Emmanuel macron kaamua kumpa makavu live maana jamaa anabwatuka hovyo.

Nchi yenyewe imepatikana kwa kura za Umoja wa mataifa na kura ya veto ya Marekani Leo hii anawaletea kiburi UN na kupuuza kazi na maamuzi ya UN. Huyu jamaa ajiangalie sana.

Tafadhali naomba wale wazee wa miaka 3000 mtupishe kidogo hapa tunajadili facts siyo nadharia. Nadhani mnajijua wenyewe Sina haja ya kuwataja.
View attachment 3125858
Good aambiwe ukweli kabisa whether mchungu maana jamaa anabwatuka bwatuka tu. Ukimwendekeza mtoto atakunyea.
 
Very unfortunately wapaletina wanakosa backup ya "mistari" kwenye hili. Wangekuwa nayo dunia ingekoma.
Acha upumbavu hapa hatujadili mistari ya dini ,bali hapa tunajadiri sheria za kimataifa.
Dunia haiongozwi na mistari ya biblia bali inaongozwa na miongozo ya umoja wa mataifa iliyo anzishwa baada ya vita ya 2 ya dunia.

Dunia ina zaidi ya watu billion 8 hali yakuwa wanao amini biblia hawazidi bilion mbili ambao ni sawa na robo tu ya watu wote hapa duniani walio baki wote hawaamini kwenye hizo tumba za biblia wakiwemo hao wayahudi ambao uko hapa unawalamba miguu.
Urokole umewafanya waafrica wengi kuwa wapumbavu kupitiliza na ndio maana nchi zinazo jielewa zimeupiga marufuku.
 
Back
Top Bottom