Rais Magufuli afanya mazungumzo na msomi Prof Patrick Loch Otieno Lumumba, msomi huyu ammwagia sifa lukuki Dr Magufuli

Namna bora ya kutetea rasilimali ni kufanya uwekezaji kwenye vichwa vya watu... Hizi blah blah zetu WaAfrica haziwezi kutufikisha popote.. tuwape watu wetu elimu bora inayoendana na wakati tuliopo kwa maarifa yaliyoshiba kulingana na kasi ya dunia..

Hawa wasomi wetu wanasiasa waliozoea kuishi kwa blah na maneno meengi.. Duniani anaheshimika yule mwenye uwezo wa kugeuza rasimali zilizopo kwenye matumizi ya binadamu ndio maana walioendelea wamewekeza kwenye science and technology na sio blah blah zisizo na msaada za hawa wapiga porojo..
 
Kama uraia mimi ningependekeza apewe Mkulima maarufu Mzee Stayn
Ushujaa aliouonyesha katika kudai chake umetufunza mengi haswa kwenye kukomaa mpaka kieleweke hata kama waziri anakukodolea mimacho kama chura
Huyu naye alikwisha tulipa mahela yetu? Au serikali ilimsamehe.
 
Hizo ni stori za kwenye vijiwe vya kwenye kahawa. Lakini hata kama akipewa hawezi kukubali. PLO ana akili sana kwani anajua aliyempa anaweza kumgeuka wakati wowote!
 
πŸ˜ŽπŸ˜ŽπŸ˜ŽπŸ˜ŽπŸ˜ŽπŸ˜ŽπŸ˜ŽπŸ˜ŽπŸ˜ŽπŸ˜ŽπŸ˜ŽπŸ˜ŽπŸ˜ŽπŸ˜ŽπŸ˜ŽπŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”
 
Ee ndio Lomomba
 
Kuna uwezekano wa kuteuliwa ubunge na kupewa u waziri. English ya Lomomba imemkosha bwana yule, foreign affairs inaweza kupata mtu mbadala.
 
Lumumba ni bwege tu Kama lipumpa makao ya ccm yanaitwa lumumba kaniona yupo nyumbani mganga njaa na kiingereza chake Cha kukariri
Kiboko yake miguna miguna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…