Rais Magufuli amfukuza kazi Mtumishi wa Serikali aliyechana Juzuu Amma huko Kilosa

Akil yako. au umekariri msaafu tu.

Mtu yeyote akiwa kichaa, punguani, akilukwa na akili. sheria zinasema nin?

ndio maana mahakama ikidhibitisha mtuhumiwa alikuwa chizi haimfungi kama mfungwa. maana hana kosa kwa maana alitenda akiwa hana uelewa.
Basi yule hatofungwa baada ya Kuonekana na matatizo ya akili, sasa vipi kuhusu kurudi kazini?

Inamaaana unataka kutuaminisha kwamba serikali bado inapokea watu wenye matatizo ya kurukwa na akili?

MKUU TUMIA UBONGO KUJENGA HOJA, ACHA MIHEMUKO

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Basi yule hatofungwa baada ya Kuonekana na matatizo ya akili, sasa vipi kuhusu kurudi kazini????

Inamaaana unataka kutuaminisha kwamba serikali bado inapokea watu wenye matatizo ya kulukwa na akili???

MKUU TUMIA UBONGO KUJENGA HOJA, ACHA MIHEMUKO
Ongeza ufahamu bro.

Ugonjwa wa akili una dawa na wagonjwa wanapona.
 
Anachosema Mh Rais ni kuwa nchi yetu haina kanuni wala taratibu za kushughikikia nidhamu za watumishi wa umma. Matamko yanatosha tu. Na tuzingatie kuwa huu ni "mwaka wa posa".
 
Toa ushahidi kuonesha kuchanwa kwa biblia ndiyo tuanzie hapo!!!!
 
Swadakta [emoji23] mi nawashangaa sana wanaojitahidi kumtetea kwa kudai hana akili timamu
Na kama hana akili kwa nini awe mtumishi wa uma? Na kwanini asingechana mafaili ya ofisini kwake?
Hoja yako bado ina mpa uhalali wa kumfukuza.

Kama hayupo timamu, atafaaje kuwa mtumishi?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwa lipi,wale watu ni waungwana sana wanashindana kwa hoja za maandiko, siku mkiwagusa Wasabato ndo kiyama itawakuta,Maana sasa meamuakupigana na Mungu live
 
hivi kufutwa kazi na siku ile wangetokea waislam wenye hasira kali wakamjeruhi au hata kumuua KIPI BORA?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eti wakristo hawana shida hata ukisema yesu si mungu .huu unafiki wenu ndio unasababisha mpaka muonekane mna roho mbaya.unazungumzia wakristo wa ulaya au hapa Tanzania.
 
Eti wakristo hawana shida hata ukisema yesu si mungu .huu unafiki wenu ndio unasababisha mpaka muonekane mna roho mbaya.unazungumzia wakristo wa ulaya au hapa Tanzania.
Hapa hapa bongo.
 
Alah! Kumbe!??
 
Duh ... Mungu amuondolee ujinga yule jamaa na ampe rizk nyingine.
 
Kwanza Mimi naona huyo mtu hakuichana qur ann kwani qur ann ipo vifuani kwa waislamu wenyewe. Alichokichana ni maandishi ya lugha ya kiarabu isipokua hishima ya kila mtu aheshimu kile anachokiheshimu mwenziwe usikifanyie zarau ni utovu wa nidhamu na adabu mbovu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…