Kwa vigezo gani Mkuu?Hili litawagharimu ccm pakubwa mno
Mkuu si tuliambiwa wabunge wa CHADEMA wanatumika na mabeberu ndio maana wanapiga kura za hapana bajeti za serikali? Ama wakiwa CCM ndio mnatambua walikubalika kwa wananchi?Kwa vigezo gani Mkuu?
Kwamba aliyehamia kwenye chama ambaye ni malikitu (asset) na siyo malidhima (liability) awekwe pembeni! Busara gani hiyo?
M/kiti wa CCM amelifafanua hilo vizuri. Kwa kifupi, kwamba kiongozi wa aina hiyo ndiye alikubalika na wananchi, si kwa sababu ya chama, bali kwa sifa zake binafsi.
Kimsingi, uamuzi wa kumsimamisha mhamiaji kwenye chama ni kukubali, nyuma ya pazia, mgombea binafsi.
Kwa vigezo gani Mkuu?
Kwamba aliyehamia kwenye chama ambaye ni malikitu (asset) na siyo malidhima (liability) awekwe pembeni! Busara gani hiyo?
M/kiti wa CCM amelifafanua hilo vizuri. Kwa kifupi, kwamba kiongozi wa aina hiyo ndiye alikubalika na wananchi, si kwa sababu ya chama, bali kwa sifa zake binafsi.
Kimsingi, uamuzi wa kumsimamisha mhamiaji kwenye chama ni kukubali, nyuma ya pazia, mgombea binafsi.
🤣🤣🤣 mataga mmeanza kuisoma nambaHuyu naye mambo yetu wana CCM yanamuwasha nini?
🤣🤣🤣 hii hata beki tatu ukimdanganya anashtukia.Kuna sekretariet ya tiss inayoratibu siasa za CCM ndio imepanga jamaa aulize hivyo so ni kitu kilichopangwa jamaa hajakurupuka
Daudi Mchambuzi unamkumbuka jack Zoka wa kanada?🤣🤣🤣 hii hata beki tatu ukimdanganya anashtukia.
Dua la kuku🤣🤣🤣 mataga mmeanza kuisoma namba
Silinde hawezi kushinda hata kama mtangaza matokeo atakuwa MagufuliDavid Silinde ajiandae, labda ashinde kwa nguvu ya dola.
CCM alikohamia watamkaa, na CHADEMA ndio kabisaa.
Cdm kimem support sanaSilinde hawezi kushinda hata kama mtangaza matokeo atakuwa Magufuli
😂😂mrangi
Shukrani za punda ni mateke!
Sina uhakika umemsikiliza na ukamwelewa! Amesisitiza CCM ngazi za chini ndizo zinawajua vizuri watia nia hivyo ni zenye uwezo wa kuwatambua kwenye kura za maoni.Hoja ya mwenyekiti ni ya kupuuzi.. mbona kwenye majimbo ya ccm tuna fanya uteuzi upya kwanini hawa chotara wapite kwa lazima.
Facts.Sina uhakika umemsikiliza na ukamwelewa! Amesisitiza CCM ngazi za chini ndizo zinawajua vizuri watia nia hivyo ni zenye uwezo wa kuwatambua kwenye kura za maoni.
Bora CCM inao wagombea wengi wenye sifa na nguvu kisiasa kuliko vyama vingine ambavyo hutegemea watakaotoswa CCM. Kumbuka kilichotokea kwenye Uchaguzi Mkuu 2015, hadi nafasi ya Urais alipewa aliyetemwa CCM. Kuna kila dalili kwenye Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu ya 2015 yatajirudia.
Ngazi za chini za CCM zitawatosa wasio na sifa zinazoendana na chama maana kuna hazina kubwa ya wagombea wenye nguvu. CCM haisubiri waliotemwa na vyama vingine labda wale tu waliohamia kwa hiari na wana sifa.Mkuu si tuliambiwa wabunge wa CHADEMA wanatumika na mabeberu ndio maana wanapiga kura za hapana bajeti za serikali? Ama wakiwa CCM ndio mnatambua walikubalika kwa wananchi?
Nashangaa wanajisahaulisha hii kauli. Hapa kafunga kazi chamani😂Magufuli alivyosema atamkata mtia nia yeyote kwa jinsi atakavyojisikia alivyoamka siku hiyo, habari hiyo ipo kwenye sheria au katiba gani?
Ulipinga kauli hiyo?