Uchaguzi 2020 Rais Magufuli azungumzia wapinzani wanaohamia CCM na kupewa kipaumbele cha uongozi na kugombea

Hili litawagharimu ccm pakubwa mno
Kwa vigezo gani Mkuu?

Kwamba aliyehamia kwenye chama ambaye ni malikitu (asset) na siyo malidhima (liability) awekwe pembeni! Busara gani hiyo?

M/kiti wa CCM amelifafanua hilo vizuri. Kwa kifupi, kwamba kiongozi wa aina hiyo ndiye alikubalika na wananchi, si kwa sababu ya chama, bali kwa sifa zake binafsi.

Kimsingi, uamuzi wa kumsimamisha mhamiaji kwenye chama ni kukubali, nyuma ya pazia, mgombea binafsi.
 
Mkuu si tuliambiwa wabunge wa CHADEMA wanatumika na mabeberu ndio maana wanapiga kura za hapana bajeti za serikali? Ama wakiwa CCM ndio mnatambua walikubalika kwa wananchi?
 
Hoja ya mwenyekiti ni ya kupuuzi.. mbona kwenye majimbo ya ccm tuna fanya uteuzi upya kwanini hawa chotara wapite kwa lazima.

Sina uhakika umemsikiliza na ukamwelewa! Amesisitiza CCM ngazi za chini ndizo zinawajua vizuri watia nia hivyo ni zenye uwezo wa kuwatambua kwenye kura za maoni.

Bora CCM inao wagombea wengi wenye sifa na nguvu kisiasa kuliko vyama vingine ambavyo hutegemea watakaotoswa CCM. Kumbuka kilichotokea kwenye Uchaguzi Mkuu 2015, hadi nafasi ya Urais alipewa aliyetemwa CCM. Kuna kila dalili kwenye Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu ya 2015 yatajirudia.
 
Facts.
 
Mkuu si tuliambiwa wabunge wa CHADEMA wanatumika na mabeberu ndio maana wanapiga kura za hapana bajeti za serikali? Ama wakiwa CCM ndio mnatambua walikubalika kwa wananchi?
Ngazi za chini za CCM zitawatosa wasio na sifa zinazoendana na chama maana kuna hazina kubwa ya wagombea wenye nguvu. CCM haisubiri waliotemwa na vyama vingine labda wale tu waliohamia kwa hiari na wana sifa.
 
Julai 2020
Tunduma , Songwe
Tanzania

CHADEMA Tutashinda Uchaguzi Majimbo Yote

Source : Jay TV
 
Magufuli alivyosema atamkata mtia nia yeyote kwa jinsi atakavyojisikia alivyoamka siku hiyo, habari hiyo ipo kwenye sheria au katiba gani?

Ulipinga kauli hiyo?
Nashangaa wanajisahaulisha hii kauli. Hapa kafunga kazi chamani😂
 
CCM imegeuka CHADEMA ya kupokea wanachama wanaohama na kutaka vyeo..
Silinde wa CHADEMA sio silinde wa CCM .
WALA silinde hakupita kwa sababu yake binafs n kwa sababu ya chama chake cha CHADEMA.
Kumbe Silinde akifa Leo CCM itakosa mgombea ubunge..
MAGUFULI UNA OMBWE LA UONGOZI.
 
Napingana na mwenyekiti mwanzo mwisho
Kwamba mpinzani alishinda kwa nguvu zake .kwamba akiamia CCM atarudi na wapiga kura wake ?
Kwamba alishinda kwa vile CCM ilikuwa haina mgombea mzuri..Silinde aliyehama chadema n silinde yule aliyeenda CCM ajiroge awarudishe kwa utumia polisi.
 
Back
Top Bottom