mwengeso
JF-Expert Member
- Nov 27, 2014
- 9,227
- 6,670
Kwa vigezo gani Mkuu?Hili litawagharimu ccm pakubwa mno
Kwamba aliyehamia kwenye chama ambaye ni malikitu (asset) na siyo malidhima (liability) awekwe pembeni! Busara gani hiyo?
M/kiti wa CCM amelifafanua hilo vizuri. Kwa kifupi, kwamba kiongozi wa aina hiyo ndiye alikubalika na wananchi, si kwa sababu ya chama, bali kwa sifa zake binafsi.
Kimsingi, uamuzi wa kumsimamisha mhamiaji kwenye chama ni kukubali, nyuma ya pazia, mgombea binafsi.