mpimamstaafu
JF-Expert Member
- Jul 18, 2018
- 4,445
- 4,707
Kama wanasema chadema mali ya mbowe basi ccm imepata mmiliki mpyaChama ni mali binafsi ya Mwenyekiti hakuna namna
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama wanasema chadema mali ya mbowe basi ccm imepata mmiliki mpyaChama ni mali binafsi ya Mwenyekiti hakuna namna
Ni unafiqueMbunge au Diwani wa Upinzani akiunga juhudi TUNAMSHANGILIA ,Akiteuliwa au kupewa Cheo ROHO ZINATUUMA hii imekaaje wanachama wenzangu?
Mbunge au Diwani wa Upinzani akiunga juhudi TUNAMSHANGILIA, Akiteuliwa au kupewa Cheo ROHO ZINATUUMA hii imekaaje wanachama wenzangu?
imepata mmiliki kutoka chatto [emoji23][emoji23][emoji23] mwekezajiKama wanasema chadema mali ya mbowe basi ccm imepata mmiliki mpya
uko sawaKuna sekretariet ya tiss inayoratibu siasa za CCM ndio imepanga jamaa aulize hivyo so ni kitu kilichopangwa jamaa hajakurupuka
Umeongea jambo la maana na la msingi sana. Issue sio wagombea wa upinzani, issue ni muamko wa wananchi katika kutaka vyama na sera mbadala zenye kujali kweli maisha yao na uchumi wao.Mleta mada nakupongeza kwa kutuletea pandikonhili. Hii ni mada muhimu sana katika kujadili siasa zinazoendelea sasa hapa nchini. Mwenye kuizingatia mada hii bila shaka atahitimisha kama ifuatavyo.
1. CCM ya Magufuli imejitathimini na kuona haina uwezo wa "kutoboa" kwenye majimbo yaliyochagua wapinzani.
2. Njia pekee kwa CCM kushinda katika majimbo hayo ni "kupora" wabunge kutoka upinzani na kuwasimamisha wagombee kupitia chama hicho dhidi ya makada walioko ndani ya chama...
Mbunge au Diwani wa Upinzani akiunga juhudi TUNAMSHANGILIA, Akiteuliwa au kupewa Cheo ROHO ZINATUUMA hii imekaaje wanachama wenzangu?
DuhYule Kijana alieuliza lile swali kaisha.
Ccm Mkoa wa Songwe wamekana kumtuma kuuliza hilo swali na atawajibika kwa kuwalisha maneno.
U NEC atauskia kwny kipindi cha Majira kuanzia 2022
Jamaa ni mkweli sana huyo, kuongea jambo kama hilo mbele ya Magufuli rais yataka moyo wa chumaYule Kijana alieuliza lile swali kaisha.
Ccm Mkoa wa Songwe wamekana kumtuma kuuliza hilo swali na atawajibika kwa kuwalisha maneno.
U NEC atauskia kwny kipindi cha Majira kuanzia 2022
Wee kwa majibu aliyopewa na mungu wenu jiwe unafikiri kuna mtu atajitokeza kusema amemtuma na ccm mnavyomuabudu jiwe hvYule Kijana alieuliza lile swali kaisha.
Ccm Mkoa wa Songwe wamekana kumtuma kuuliza hilo swali na atawajibika kwa kuwalisha maneno.
U NEC atauskia kwny kipindi cha Majira kuanzia 2022
Bora hao Bavicha na Dr Slaa waliosusa na kujiuzulu kuliko uvccm na makada wanaokufa na tai shingoni!Hata Lowasa alipopewa nafasi ya kugombea Urais kuna mabavicha walisusa kabisa, Dr. Slaa mwenyewe akajiuzulu sasa ni Balozi huko. Binadamu wana mioyo ya nyama hivyo inaeleweka katika kundi la watu sio wote wataofurahia maamuzi flani , ingawa nayo inataka moyo kuweka wazi baadhi ya mambo. Na kuelezana fikra ni utamaduni mzuri kuliko kuishi huku mtu akiwa na kinyongo.