Uchaguzi 2020 Rais Magufuli jipime umwachie Membe, Lissu atakuangusha mapema sana

Jamaa this time atashinda zaidi ya 80%. Ni suala la muda tu!
 
 
technically
Naunga mkono hoja yako kwa asikimia 100

Hakika ni bora tu akanyoosha mikono kabla ya pambano na kukiri wazi kuwa muziki wa Tundu Lissu hauwezi, kuliko kujitafutia aibu ya kuangushwa vibaya kwenye sanduku la kura!

Kwa bahadi mbaya jamaa yetu sio shoga ila ameolewa na beberu, alituonyesha kwenye mtandandao shemeji yetu.
 
Wale mabingwa wa kuandaa midahalo ya wagombea urais sasa ndio mtuandalie mdahalo kati ya LISSU na Magu. Kijasho kitamtoka. Hajui hata Tanganyika ilipata uhuru lini wala Chato inapakana na wilaya gani upande wa mashariki
 
Naunga mkono hoja. Membe atafaa sana, ana maono makubwa na ushawishi wa kidiplomasia. Magufuli ameifanya nchi yetu imekuwa kama kisiwa, apumzishwe.
 
Hatuyaangalii hayo madudu yako. Tunamtaka huyu huyu tuliye naye. Kumbuka, katuvusha salama coronani
Mlimuomba MUNGU atulinde na Corona lakini sasa huyu MUNGU kumbe amegeuka ni MAGU ndio anapewa sifa za kutuponya. Mweeee, ujinga huu sijui Mungu anatuonaje.
 
corona siyo Mungu tena aliyetuvusha au dah hii kiburi ya ccm lazima muangukie pua safari hii
Hakuna Mungu wa watanzania tuu. Mbona Kenya walijifungia ?? Mbona Uganda, na Rwabdaa walijifungia? ? Kama sio huyu wetu tungefia ndani kwa njaa
 
Katuvusha salama kwenye corona wakati kuna watu wamepoteza maisha!
Watu wamepotezea maisha ikulu au? ? Mtu kufa kunauhusiano gani na rais? ? Inamaana angekuwa mwingine vifo vingekoma Tz na duniani kote? ? Tafuteni visingizio vingine
 
Alafu kisasi kitalipwa lini ????!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…