Rais Magufuli jitahidi uache uvunjaji wa sheria! Let justice take its natural course!

Hivi hako kamsemo ka mungu huwa anajipigania mbona nyinyi walokore mmekakomalia? Kama mungu wenu anajipigania na anauwezo wa kujifanyia chochote mbona kulasiku mmachanga hela kwa ajili ya kujenga makanisa.
Kwann msikae mungu akaja kuya jenga mwenyewe kwa sababu anaweza kuji fanyia kila kitu?
 
Upo sawia kabisa
kamati ya maamuzi magumu
 
Fikiria kwa pande tatu ndugu
Kuna muda hata Kama wewe ungepewa uraisi au uongozi wowote usingekosa wa kukulaumu,,maana Kuna maamuzi makali ungeyatoa kwa kuweka msingi yasiweze kujirudia mfano kwa wafanyakazi wa imma
Alafu angalia na nchi katika Hali gani
Juzi tu maaskari unatambua walichomfanyia yule shekhe?
Naimani utakuwa unakumbuka alafu matarajio ya kujitahidi kutuliza ghasia na taharuki zilizojaa juu ya hawo watu wa dini husika,,,eti inatokea misbehaving ya mtumishi aliyechini yangu mininatengeneza yeye anabomoaa ,,,unatarajia nitachukua hatua gani juu yake juu ya wengine wasijefanya ikiwemo watumishi wa umma
Alafu tunakuja upande wa sheria au vizuizi vya utumishi wa umma naimani utakuwa inazifahamu zinasema Nini
Kuhusu uaminifu wa mfanyakazi kwenye Mali za umma ,,pia upande wa heshima( kujiheshimu,kuheshimu wengine ikiwemo na Imani zao )
Leo unakuja kulaumu maamuzi makali alioyatoa,,,,bro uongozi nimgumu acha tu eeh
kamati ya maamuzi magumu
 
Mzee kasome hukumu ya court of appeal baina ya urouch wa chama cha walim tanzania dhidi ya katibu mkuu utumishi wa uma.


Rais ndo mwenye mamraka yakufukuza mtumishi wa uma kazi.

Kwahiyo Rais alisema hivyo akimaanisha sheria ndo imempa nguvu.
Nimeisoma sana tena sana ! Una elimu gani kwanza? Tusije tukawa tunabishana , labda mimi niko chini sana au wewe uko juu sana na siwezi kukuelewa au uko chini sana na tusielewane!

Umejiuliza public interest ni zipi? How the law defines public interest? nakuwekea case ambayo public interest ilikuwa defined ingawa facts of the case zinaweza kuwa tofauti kidogo na case yetu hii.

Alipotoa tamko lake alikuwa amefuata taratibu zote? si alilipuka tu na kujisemea kama kawaida yake?
Soma page ya 21, 22, 23 ya hukumu unayoisema.
Au nikukumbushe, nadhani bado una fikira kuwa Rais is Omnipotent, yuko juu ya kila kitu! Finally, Soma hii kidogo


 

Attachments

Retired,
Kuchoma kitabu kitakatifu cha dini yoyote ni kosa lisilovumilika!
Hakuna kosa lisilovumilika! Huyu kachoma makaratasi tu ambayo ni replaceable! kama siyo siasa kali za wenzetu ilikuwa ni kumdharau na yanaishia hapo. Ukishaweka maneno unayakuza! Najua wewe unamtetea Jiwe wako, lkn unajua fika kuwa hakuna kosa lisilosameheka. hata waliompiga Lisu risasi kwa amri ya huyo... wakitubu wanasamehewa! After all nani ana uhakika kuwa MUNGU YUPO NA HICHO NI KITABU CHAKE? LIKEWISE BIBLIA?
 
Wamwachilie basi arudi mtaani!
 
Bukililo, mbona Nshomile wanajua haya mambo? Au wewe ndiye KM wa kijani maana yule kwa sasa ubongo wake uko embedded in the rectum! Umechafuliwa na shit can not reason!
Rais ni mwajiri mkuu, anaweza kukufuta kazi au kupendekeza upandishwe cheo muda wowote ule.

Kiongozi mkuu wa serikali ni rais, huyo pimbi wa huko Kilosa ni muajiriwa wa serikali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata ikiwa ni kwa Public Interest, lazima ufanyike mchakato wa kumwondoa kazini huyo mtumishi. Kifungu cha 24 (1) cha Sheria ya Utumishi wa Umma, 2002 lazima kisomwe na Kanuni ya 29 (1) ya Kanuni za Utumishi wa Umma, 2003.

Taratibu hazijafuatwa, zimekiukwa. Sheria imevunjwa.
 
Nilitamani nijue elimu yako

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama rais alichofanya si kazi yake basi tufanye hivi, hakuna kumlalamikia tena kuwa hajatoa ajira. Kama mnataka utaratibu ufuatwe na ndio kinachofanyika, wizara ya elimu haijawahi tangaza rasmi kuwa inapungukiwa walimu, ndo maana haitoi ajira. Na hata kama ingetangaza upungufu lakini isitoe ajira, tufanye basi si kazi ya rais wala hastahili lawama.

Ajira zisipotolewa mnamlalamikia yeye. Waajiriwa wakiwajibishwa mnamlalamikia kwamba si kazi yake. Tufanye suala la ajira hausiki nalo sasa.
 
Kama umenisoma nami nasema hivyo kuwa taratibu zimevunjwa! Rais amekosea sana kusema amemfuta kazi. Makosa makubwa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una lenga wapi na argument yako? Imetoka nje ya line of argument
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nitamshauri aende mahakamani, Kuna siku jiwe atatoka madarakani , then hukumu kama itakuwa ameshinda atapata haki yake kwa rais atakayekuja

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ukiwa muajiriwa wa serikali maana yake umepita shule na kutimiza vigezo, akili ya kawaida tu inatakiwa ikwambie kwamba huwezi kuchana kitabu kitakatifu mbele ya hadhara. Na jamaa wakamrekodi muda ule ule.

Bahati aliyonayo mahali pale waislam wenye msimamo mkali walikuwa ni wachache vinginevyo wangemfanyia kitu kibaya sana.
 
Rais ana hire na ku fire political appointees lakini sidhani kama ana mamlaka ya kumfuta kazi mtumishi wa serikali!
 
This is not how it works lol.
Kama angekuwa ni political appointee hapo sawa ila si kwa mtumishi wa serikali wa kawaida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…