Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
Wanampangia Mungu, ngoja tuoneKwa waliosikiliza kilichosemwa leo tayari serikali ya CCM na viongozi wake wapo mguu ndani mguu nje. Wanaondoka na tuseme wanaondolewa au neno zuri la kikwetu wanafurushwa na haizidi mwaka...
Mkuu tusaidie ambao hatukufanikiwa kusikia kimesemwa nini?Kwa waliosikiliza kilichosemwa leo tayari serikali ya CCM na viongozi wake wapo mguu ndani mguu nje. Wanaondoka na tuseme wanaondolewa au neno zuri la kikwetu wanafurushwa na haizidi mwaka. Kilichosemwa leo kwa ufupi wana uhakika gani kama watamaliza miaka mitano ? Akili kichwani mwako ongeza za kuchagiwa.
Hivi safari za JK hazikuwa na Tija kwa taifa.
Hapo ndipo tunapomkosea sana Mzee wetu Kikwete...
Una umri gani?Kwa mara ya kwanza tunaenda kuongozwa na waziri mkuu ambaye hakupigiwa kura na wananchi
jiwe huwa anaandaliwa hotuba kama walivyokuwa wenzie ? , nadhani mzee kila siku zinavyozidi kwenda anaelekea kuharibu zaidi .napata wakati mgumu kuamini ametamka haya
View attachment 1627574
Kweli kabisa, ngoja niendelee na majukumu yanguHAYA KUHUSU, CHAPA KAZI
Huyu jamaa ana nidhamu ya uoga kinoma . Umesahau na kujichekeshachekesha bila sababuKwa gesture ya Dkt. Mwinyi pale alipokaa ni kama ana woga au hofu fulani hivi, kama haamini kinachotokea maana muda wote anasugua viganja huku akitupa jicho huko na huko.
Kweli damu za watu si mchezo, lazima zikuamishe kimawazo!
Bado kinawauma, tulieni tufanye kazi. Kampeni zimeshakwisha mjipange 2025Waziri mkuu wa viti maalum
Bado najiuliza kauli ya mwenyekiti wa saccos alivyosema atakuwa waziri mkuu ndani ya saa72 sijui majukumu Yake yangekuwa yepi!Hivi PM kwa sasa hivi amebakishiwa majukumu yapi?
Mbowe wananchi walimkataa na alishasema anakuwa waziri mkuu ndani ya saa 72!Kwa mara ya kwanza tunaenda kuongozwa na waziri mkuu ambaye hakupigiwa kura na wananchi
Hivi PM kwa sasa hivi amebakishiwa majukumu yapi?