Rais Magufuli ni Dikteta anayetoa Ruzuku kwa vyama vya siasa!

Asee Kama ni hivo mkuu, udikteta wake umekujaje sasa wakati anafata katiba Kama unavyosema mwenyewe
Mkuu sina hakika kwamba dictator huwa anatupa kila kitu kilichopo kwenye katiba,vile anavyofaidika navyo havitupi Ila vile vinavyozuia yeye kufaidika ndo havitii wala kuheshimu. kuteua na kutengua ni majukumu aliyopewa na katiba na anayatumia vizuri ila kuzuia mikutano ya vyama vya siasa visijieneze au kugawa pesa zetu barabarani na kushindwa kulinda raia na mali zake pamoja na kutokufata sheria kwenye procurement na tengua teua ya baadhi ya watu ni mambo kadhaa aliyovunja katiba
 
Kama havipendi hivo vyama pinzani kwanini anavipa hizo pesa ama kutoa ruzuku kwa CUF kunamnufaishaje yeye mkuu?
Usisahau kuwa kwenye serikali ya ki dikteta rais ndio katiba na sheria yenyewe.
 
Kama havipendi hivo vyama pinzani kwanini anavipa hizo pesa ama kutoa ruzuku kwa CUF kunamnufaishaje yeye mkuu?
Usisahau kuwa kwenye serikali ya ki dikteta rais ndio katiba na sheria yenyewe.
Kwa hiyo wewe unataka kusema au kutuaminisha vipi kwanza? kwamba magufuli si dikteta kwa kuwa bado anatii sheria ya kutoa ruzuku kwa vyama vya siasa?au unakomalia nini hapa?
 
Unaniachia mimi niotee au, kwahiyo wewe mwenyewe hujijui Kama umesoma au sio? Sasa Kama ni hivo wewe na hao unao waita wa jalalani nani nafuu sasa hapo.
Ha ha haaa! Usinichekeshe bure. Yaani hata kwa mtu mwenye uelewa wa kawaida tu huwezi kujua "unayeongea" naye ana upeo gani hadi utamkiwe????!!!!! Yaani kama huwezi kusoma hata picha huwezi iona na kuelewa?
 
Wewe ni masikini wa akili! Aliekuambia kuwa ruzuku hutolewa na rais ni nani? Unafahamu kuwa ruzuku ipo kisheria?
 
Ndio anaheshimu baadhi.Kwani nani kakwambia Hitler na Musolini walikuwa hawafuati baadhi ya sheria na katiba za nchi.Kama unafuat baadhi na baadhi unaziacha basi si ndo kutumia mabavu?kwa hiyo magufuli pia anatumia mabavu kuvunja baadhi ya vipande vya sheria.
mikedean, Je dikiteta anaheshimu sheria kama ilivyo hiyo ya kuwapa upinzani ruzuku?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ni masikini wa akili! Aliekuambia kuwa ruzuku hutolewa na rais ni nani? Unafahamu kuwa ruzuku ipo kisheria?
Wewe ndio masikini wa akili mkuu, Soma tena mada alafu uangalie ulicho andika.
 
Kwa hiyo wewe unataka kusema au kutuaminisha vipi kwanza? kwamba magufuli si dikteta kwa kuwa bado anatii sheria ya kutoa ruzuku kwa vyama vya siasa?au unakomalia nini hapa?
Mada inajieleza wazi kipi nakimaanisha Sasa wewe unae taka kupinga upinge kwa kujibu hoja husika.
 
Unaweza kuweka hapa mfano mmoja tu sheria/kitu alichokifanya Hitler kilichokuwa rafiki kwa wapinzani wake.?
 
Kwa gharama ya kuua na kuteka watu, nyie endeleeni kumpaka mafuta kwa mgongo wa chupa, hivi yeye binafsi anapata nini kwa kuua watu, wakati anajua kabisa ni dhambi na matokeo yake anaenda kumjoin shetani, nini anapata kwa yeye kuwa radhi kwenda motoni tena milele? Maana kama kuna watu wamekosea mahali kuna taratibu zipo za nchi kwa mujibu wa katiba ambayo yeye ameapa kuilinda, sasa kwanini anatumia njia za panya ambazo zinampelekea yeye kupata laana na pia kwenda motoni?
Hivi watanzania tunataka nini maana siwaelewi ina maana hakuna lolote Rais anatenda jema kwa watanzania au kwa kuwa watu mnashinda mitandaoni mnalipwa kuja kuchafua taswira ya nchi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu
nini maana ya udikteta?????? tuanzie hapo!!!!!!!!
 
Jubu: ndiooo...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe mwenyewe hapo ulipo Muogope Mungu Mana kusingizia pia ni dhambi kubwa sana inaweza kukupeleka motoni, kumtaja mtu Kama muuaji wakati hujawahi mshuhudia akiua na kuwa na ushahidi hiyo nayo ni dhambi mbaya sana kuwa makini na wewe pia usije mjoin shetani jichunge na huo ulimi
 
Utawajua kwa matendo yao, jua hakuna siri chini ya jua, waswahili wanasema hakuna siri ya watu wawili, Ben kapotea baada ya kuhoji phd yake, na vitisho juu ndio vilitanguliwa kuwa atauwawa, tafuta post yake humu ndani. Usifikiri watu wanakurupuka, je mbona ya lisu alisema mpaka dunia inajua.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…