Kuna watu wanaandika makala humu kwa kiswahili lakini kuna watu huwa wanalalamika makala imekuwa 'gazeti'Hakika namuunga Mkono Pro.. Hizi tafiti zingekua kwa lugha yetu wengi wangezisoma.. Utashangaa Mtu anasoma MA ya kiswahili (uzamili), tafiti inaandikwa kwa lugha ya kigeni
Hapo kazungukwa na walinzi kibao na hao wananchi waliopo karibu naye ni CCM damu. Muda mwingine mnazidisha kumtukuza Baba wa Taifa na yeye pia alikuwa anafanya mambo kiCCM CCM. Kwa mfano kama alikuwa mwana demokrasia mbona aliacha kura ziiibiwe Zanzibar 1995? Uongozi Afrika siyo kama Ulaya, Demokrasia ya kiafrika siyo kama Ulaya haijalisha nani yupo madarakani awe Magufuli au Tundu lissu.Only Mwl.Nyerere could be able to do this..![emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]View attachment 917719
Kumbe mkuu wa mkoa yuko vizuri,anajua hadi labour intensive
Naibu rais;DAB ndio nan mkuu
Ningekuwa Raisi natafta washauri wa aina mbili mana aliowapa cheo hawamsaidii ni wanafiki wa kubwa mkuu
Unajua tatizo ni kutokujua uelekeo wa dunia kwa sababu ya elimu mbovu (failures ndiyo wanapewa madaraka), kutokujisomea vitabu na kukosa exposure. Ushamba ni mzigo.
Hayupo vizuri hata kidogo na suluhisho lake ni la hovyo.
Labor intensive industries ni mambo ya karne ya 18 na 19 wakati industrial revolution inaanza. Katika karne ya 21 automation ndiyo mwendo wa viwanda vya sasa. Hivyo anachosema tuwekeze kwenye labor intensive industries haelewi muelekeo wa dunia. Huwezi kumlaumu kwa sababu hana elimu nzuri, hasomi vitabu na kaanza kusafiri ukubwani. Unapoona watu wanamshangilia unajua tatizo la ujinga ni kubwa zaidi.
Pili, labour intensive industries asilimia kubwa unaongelea cheap and unskilled labour. Hiyo haihitaji wahitimu wa chuo. Tatizo la ajira la sasa ni kubwa kwamba kuna wahitimu hawana kazi.
Hili ni onyesho la ujinga. Mawazo ya kijima na watu wasioelewa dunia inaenda wapi lakini kwa sababu wamevaa "uprofessa" na "madaraka" wanapata sauti ya kusikika.
Sikweli, maana hakuwa na maadui, aliwahi kusema ukiwa rais afu unazungukwa na vifaru ujue unashida na matatizo na raia/wananchi wako.Hapo kazungukwa na walinzi kibao.
Moja ya hasara kuu ya taifa ni Kabudi yaani jamaa analopoka tu kama amekatika kichwaKabudi anasikitisha sana hasa anapobariki uminywaji wa vyama vya upinzani kufanya kazi yake ambayo walisajiliwa kwayo tena akiwa amekalia kiti cha waziri wa katiba na sheria ni tatizo kubwa sana kwa maelezo eti kupeana nafasi kufanya kazi hivi nchi ambazo zimeacha vyama vya upinzani kufanya kazi zao hawafanyi kazi, hawana maendeleo, wametopea kwenye umaskini hii inashangaza
Lakini pia yeye kugeuka msemaji wa serikalini nalo ni ajabu
Anaongea toka mfukoni mwa joniSiasa za pesa na rushwa zimeisha kweli? anaongea toka rohoni??
sijaelewa hii statement inahusianaje na kongamano la leo. Naomba aliyeelewa anielewesha.Mimi sikuvaa koti wala mke wangu hakuvaa shela lakini tulifunga noda kwenye kanisa la chuo kikuu. Pete alitununulie padre na soda. Mi nlikunywa Pepsi na mwenzangu Milinda.
Sio kwamba sikuwa na uwezo bali huo ni utaratibu. Watoto wangu watoto wamefunga ndoa na wengine nikiwa rais, haujawahi kusikia sherehe hizo.
Hivi binti uliwezaje kuolewa? I pity that husband of yours, yaani kama ule upupu wa profesa "macho kodo" unaita madini!Anaongea msomi Profesa Kabudi. Madini matupu.