Rais Magufuli: Sitatenga hela ya Katiba Mpya ili watu waende Bungeni kula; wala sikuinadi kwenye kampeni


Kabisa, haya ndo mambo ya msingi kwa sasa. Hayo mengine ni mbwembwe tu.. Hakuna kitu Watanzania watamkumbuka JPM kama akituachia katiba mpya haswa yenye vipengele hapo juu. Ataacha historia kubwa kwa Watanzania.
 
Kuna yule mwenyekiti wa kile chama anazungumza sana kingereza lakini form six alizungusha.
 
Anajua katiba mpya itakuwa ni kitanzi kwake hasa kwenye uchaguzi wa 2020 na ndio maana amesema hakuinadi kwenye kampeni zake za 2015, lakini tusishangae akiinadi kwenye kampeni za mwaka 2020 (kama atagombea) kwasababu itakuwa kitanzi huko baadae 2025 baada ya yeye kumaliza muda wake.
 
Labda wajua kiingereza cha kuandika, kuongea ni mtihani mwingine!
 
Inaonesha humfahamu vizuri Magufuli.

Wakati wa bunge live kusitishwa alisema pia kwamba analitoa kupunguza gharama za urushaji.

Wapinzani na baadhi ya TV stesheni kama ITV zikasema ziko tayari kugharamia.

Magufuli akaja na kisingizio nyingine.
 
Ukisilkiliza kilichokuwa kinaongelwa hapo ni kumsifu Rais Jiwe John Pombe ******** kwa kwenda mbele.
Huu ni Utawala wa VITU na siyo WATU. Kongamano lote ni kuzungumzia SGR, FLYOVERS, BARABARA,DREAMLINER, STIEGLERS GORGE na mengine kama hayo.

Si Rais Magu, si Profedha wala Daktari yeyote aliyegusia kuhusu MAENDELEO NA USTAWI WA WATANZANIA. Hapa tunalenga hali ya kiuchumi ya mtu mmojammoja. Hali za Watanzania kiuchumi ni mbaya sana kuliko tunavyoaminishwa na hawa Wanasiasa na Maprofedha uchwara....Simple logic, hivi kujenga barabara za lami, kununua Dreamliner, kujenga SGR inamsaidia nini mwanachi wa kijijini mabaye hata siku moja hafikirii kupanda ndege, treni au kuja Darisalama kupita kwenye Flyover???Hivi kweli haya ndo manedneleao tunayotaka Watanzania? Hivi nikifika Zahanati au Hospitali nandikiwa dawa halafu naambiwa nikanunua duka la dawa SGR,Gorge, Flyover zinatija gani kwangu mlalahoi?
 
Kongamano la hofu tupu.
Halikua na raha kama makongamano tuliyoyazoea.
 
Magufuli anajua zaidi yako wewe sabb kipindi cha vita alikuwepo

Na kingine magufuli kakaa tripoli sana na hata mlivyokuwa mnaenda kwa ghadafi kuomba misaada alikuwa akienda
Sawa Jokate
 
JPM piga kazi...watanzania tunakuunga mkono!
Changu kama wewe unaelewa nini zaidi ya kula kuvimbiwa na kuchaji hicho ki Tecno chako na kushinda kujamba jamba JF? Mwajuma ndala ndefu
 
Mvunja katiba hawezi kutaka katiba mpya.
Katiba mpya na mchakato wake ni vitu vyenye gharama kubwa. Unataka katiba wakati reli huna, umeme wa kukatika hovyo.

Unataka katiba wakati una changamoto nyingi za kimaendeleo. Kule Dodoma zilitumika pesa kibao na mwisho wa siku watu wakaanza kuitana interahamwe na matusi mengi tu ya mtaani.
 
Mwezi uliopita uliandika kuhusu Usumbufu wa Daladala za Gongola Mboto kwenda Makumbusho, sasa hivi ushapaa hadi Puerto Rico

Kwani huwezi kuwepo Dar es Salaam leo na Kesho tu Saa 5 asubuhi ukawa New York? Hopeless kabisa Weye!
 
Asante msingwa!!!
 
Sawa ni jambo zuri.mungu ambariki mwenyekiti wa ccm.naunga mkono juhudi.
 
SIJAONA POPOTE MAGUFULI AKIJIBU HOJA MBALIMBALI ZAIDI YA KUORODHESHA ALIYOYAFANYA NA KUJINASIBU...HIYO SINGLE TUSHAICHOKA. AJIBU HOJA.
 
Mjadala umefana hongereni washiriki wote. Hongera sana Mh. Rais kwa kueleza unachokiamini katika kuongoza nchi. Mimi kama raia wa nchi hii na kubalina na utendaji wako. Nitaisaidia nchi hii na watu wake kwa juhudi zangu zote na maarifa kadri nitakavyoweza. Mungu ibariki Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…