Magufuli ni mbaguzi wa rangi, dini, jinsia, kabila, ukanda ana kila sifa mbaya ya ubaguzi. Angekuwa ulaya au America angeshapigwa bani na taasisi kadhaa kwa sababu ya ubaguzi wake wa dhahiriWewe ni mwanamke mweusi?,pole sana ,rais alikua anafanya utani tu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hehehe nimejiona hapo
Siku hizi mtu anachaguliwa namna ya kufanya utani?Anatania?!Kwani alishindwa kufanya utani unaojenga nchi?Kwa nini huwa anafanya utani wenye viashiria vya ukabila,ukanda,ubaguzi,unyanyasaji wa kijinsia,kugawa watu,udini,e.t.c.Kwa nini asifanye utani wenye viashiria vya kujenga amani,uhuru,haki,usawa,maendeleo,etc?
Yeye siyo mtu wa kawaida.Yeye ni Rais wa nchi.Kila analofanya linafuatiliwa dunia nzima na watu tofauti tofauti pamoja na mashirika tofauti tofauti na kutafsiriwa kwa namna yake yenye athari kwa Tanzania.Kila analofanya linawakilisha watanzaniaSiku hizi mtu anachaguliwa namna ya kufanya utani?
Naomba tukiutane hapa tarehe 29/10/2020Siwezi kujinyonga ila najua Mungu ninayemwabudu atafanya kitu fulani kwa huyo JPM wenu mnayemtukuza kama muungu mtu.....pambaf!
Nimeamini kuna watu, tena wakubwa kabisa, midomo yao haina break. Ni aibu. Amewakwaza wengi na kundi kubwa la wapiga kura ni wanawake, weusi, tena wengi ukiwa umekolezwa na kushinda juani wakitafuta liziki. Hawana uwezo na muda wa kupaka mkorogo, waende ofisini kwake ndio awasaidie kwa muonekano wa rangi nyeupe.View attachment 1595438
Kauli yako uliyoitoa leo hii, eti huyo mgombea wako cheupe akija Ofisini mwako utamuhudumia haraka kuliko hata wanawake weusi.
Ni Udhalilishaji na Unyanyasaji wa kijinsia, umeonyesha wazi kuwa wewe ni mbaguzi wa rangi.
Kumbe ndo maana wanawake weupe weupe wanakula Mema ya nchi huku wachache weusi ukiwateua sababu ya Elimu zao?
Umewaumiza Kihisia, umewaumiza kiakili wanawake Weusi.
Hivi Leo mwalimu wa shule ya msingi atakuonaje?
Yaaani watu mna shida nyie. Hivi Rais pale aliongea kwa utani tu tayari mmelibeba. Binadamu bhana ni shida sana
Au mnafikiri kwa vile ni Rais basi haruhusiwi kufanya utani?
Acheni ushamba kila kitu mnakishikia bango
Inborn behaviour ipo kwa kila mtu, unapochanganyika na watu, tena wa mataifa au kabila tofauti unachukua standard characters. Ukiwa kiongozi kuna mengi unatakiwa uyakose, kulingana na hadhi ya cheo hicho. Kuna mmoja alikuwa mpenzi wa muziki. Ameapishwa, usiku anavalia jeans kwenda disco, wapambe wakamwambia mzee huko tena basi. Inaonekana mh wa sasa wasaidizi hawamsadii kumfunda, au hafundiki.He can never do without it. It's an inborn behavior.
Kweli kabisa mpz wangu. Achana na hao mavuvuzela wanarukia maneno tu!Mimi hapa mweusi na sijaumia chochote
Labda Kama wee mtoa mada umeumia pole Sana mwanamke mwenzangu
Tena mwisho akasema i mnajua Tena wasukuma!!!!
Alimaanisha wasukuma wanapenda wanawake weupe na aalitania
Na mbaya mara nyingi anawasifia wake za watu!Huyu jamaa ana matatzo ya kupenda white women
Kwani akiwa Rais hata utani haruhusiwi kutania? That is not true!Inborn behaviour ipo kwa kila mtu, unapochanganyika na watu, tena wa mataifa au kabila tofauti unachukua standard characters. Ukiwa kiongozi kuna mengi unatakiwa uyakose, kulingana na hadhi ya cheo hicho. Kuna mmoja alikuwa mpenzi wa muziki. Ameapishwa, usiku anavalia jeans kwenda disco, wapambe wakamwambia mzee huko tena basi. Inaonekana mh wa sasa wasaidizi hawamsadii kumfunda, au hafundiki.
Ulitaka asifie wake wa ng'ombe au?Na mbaya mara nyingi anawasifia wake za watu!
Such people never learn, nor change...I dont think so.
..I believe if his advisors tell him that the jokes he has been making are rude and inappropriate he will change.
HOPELESSBora JPM anayeishia kwenye kauli kuliko Mbowe aliyesababisha bavicha kanda ya kusini walalamike kuwa wale wa kaskazini wanapendelewa.
Trump ni Trump na Magu ni Magu, ni watu wawili tofauti wenye majukumu tofauti ya kiuongozi.
Nongwa haziwezi kumsaidia mtu hata siku moja. Yaliyoongelewa pale uwanja wa taifa kulihusu jiji la Dar yana umuhimu wa kujadiliwa kuliko hizi inferiory complex za mtu mmoja mmoja.
Watu tuko tofauti, tunatakiwa kuishi kwa kutumia standard code of conduct. Nimezaliwa porini, tunajisaidia vichakani, nikifika mjini nikianza kutafuta vichaka nitajinyea au kuloanisha nguo kwa mkojo.Huyu mpaka 2025 atakuwa anakosolewa na hao wakosoaji hakuna watakachoweza kubadilisha.
Hatuwezi kuwa na tabia zinazofanana na haitatokea tukaja kufanana. Ukishauelewa huo ukweli itakuwa rahisi maishani mwako kuishi na watu wasiofanana na wewe kitabia.
Utaumiaje na umeshajikatia tamaaMimi hapa mweusi na sijaumia chochote
Labda Kama wee mtoa mada umeumia pole Sana mwanamke mwenzangu
Tena mwisho akasema i mnajua Tena wasukuma!!!!
Alimaanisha wasukuma wanapenda wanawake weupe na aalitania
Mwenyezi Mungu atakuchukua wewe kabla ya JPM kwa sababu huna faida kwa taifa, wewe unaonaje? khe he khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeSiwezi kujinyonga ila najua Mungu ninayemwabudu atafanya kitu fulani kwa huyo JPM wenu mnayemtukuza kama muungu mtu.....pambaf!