Anajua mumewe ni mtu wa extreme jokes, wabongo tunajuana
Kwa ufupi mambo yale huwezi yakuta kwa kiongozi mskini Nyerere akipenda utani lkn ndani ya utani wake kunakuwa na mambo ya kujifunza huu ni ujinga na unakubalika kwa wajinga km ww tuuWewe ndiio mjinga kweli alikwambia kijijini watu ni weusi Nani?rangi ya ngozi NI character ya kurithi
Au wewe mwenzetu unarumia mkorogo,
Eti mwanamke was kijijini
Labda kijijini kwwenu
Mshamba mkubwa
Halafu hv mwanamke gani mweusi ajshindwe kumuona magu?labda wewe usiejiamini
Kurara Kati kati ni kutamu sanaPopoma ni yule anayechukulia kwa uzito kauli za masihara za mwanasiasa tena akiwa jukwaani.
Kuna mengi sana ambayo ni chanya yalisemwa kuhusu Dar na maendeleo yake na ni ya muhimu kuliko huu udaku wa mwanamke mweupe na mweusi.
Hatimae anakuwa kichekeshoHalafu kwanini huwa anajifanya anajua kuchekesha?
Wala hujui watu wanachohoji Kama nyinyi wasukuma mnapenda vyeupe ni juu yenu lkn kutoa kigezo cha kumsikiliza mtu sababu ya rangi ni UBAGUZ USHAMA NA ULIMBUKENISiku hizi kasuku wameishiwa sera saaa wanakwenda na kauli za magufuli.
Magu ni msukuma,wasukuma wanafahamika kwa kupenda wanawake weupe(japo kaoa mwanamke mweusi kama hao anaowatania).
Watu wamekosa tumaini sasa imefikia kipindi mtu anaamka na stress anampatia magufuli,anachofanya ni kutafuta sababu tu.
Jitu limeenda ejii halijiheshimu halina breki halina staha ukizingatia cheo chake kikubwa halina kiasi he is not intelligent at all. Faking annoyingVery sad,
Kum torture mke wake kisaikolojia kila siku...pigieni kura Lissu!
Ujinga na upumbavu wa kitumwa bado upo kichwani mwako.Ndio maana hajui kiingereza licha ya PhD yake
So, point yako ni kwamba, sisi hatujitambui, si ndioNdio maana nikasema inategemea na namna watu wa taifa husika wanavyojitambua, kumdhalilisha mkeo kila ukipata fursa ya kuongea na hasemi kitu itategemea na asili yake, kwa mfano shithole nyingine kule Swaziland mfalme wa huko huruhusiwa kufanya chochote akitakacho kwa wanawake.
Subiri uteuziMimi hapa mweusi na sijaumia chochote
Labda Kama wee mtoa mada umeumia pole Sana mwanamke mwenzangu
Tena mwisho akasema i mnajua Tena wasukuma!!!!
Alimaanisha wasukuma wanapenda wanawake weupe na aalitania
uko sahihi kabisa kwa Nyerere ni mbali sana hata JK tuKwa ufupi mambo yale huwezi yakuta kwa kiongozi mskini Nyerere akipenda utani lkn ndani ya utani wake kunakuwa na mambo ya kujifunza huu ni ujinga na unakubalika kwa wajinga km ww tuu
nasemajee,kwa sasa mtashikilia mpaka visivyo na maana ili mpate pa kuhifadhi hasira zenu.Wala hujui watu wanachohoji Kama nyinyi wasukuma mnapenda vyeupe ni juu yenu lkn kutoa kigezo cha kumsikiliza mtu sababu ya rangi ni UBAGUZ USHAMA NA ULIMBUKENI
Magufuli sio nyerereKwa ufupi mambo yale huwezi yakuta kwa kiongozi mskini Nyerere akipenda utani lkn ndani ya utani wake kunakuwa na mambo ya kujifunza huu ni ujinga na unakubalika kwa wajinga km ww tuu
Rais mbaguzi wa rangi na bado anawatukana mabeberu ni kama wao ndo waliiba 1.5 trillion. Fala huyoNimeshaona siku nyingi how stupid you are.ngoja aendelee kuwabana .
Hata ingekuwa Kenya, angetamani dunia ipasuke aingie ndani. Angebanwa mpaka aombe radhi, la sivyo angekosa kura za wanawake wote, weupe kwa weusi. Mambo ya hovyo-hovyo kiasi hiki yanaweza kutokea TZ tu. Ujinga au sijui upole wa kijinga umefanya watawala watudharau na kuamua kujisemea chochote kinachokuja akilini mwao bila kufikiri vizuri impact yake.Ingekuwa Malawi wanawake weusi wangeandamana uchi mpaka ikulu.
ndio maana trump aliita vinchi kama vya kwetu ambavyo mwajiriwa wetu anatutukana hadharani nasi kufurahi "shithole countries"πππππ. Mitano kwanza ni muafaka kwa sasa kuliko mitano tena. Turudishe heshima ya nchi yetu na watu wake.Halafu miafrika bana, humo kwa hao wanaoshabikia hizo kauli kwa shangwe na vifijo kunao wanawake weusi.....hehehe jameni, ingefanyika kwenye mataifa yenye watu wanaojitambua aisei pangechimbika. Kuna mataifa yaani kila tamko unalotoa aidha linakuongezea kura au kukushusha, ila kwetu hapa Afrika, tuko kama misukule, hata mnatukanwa na kukenua meno tu...hehehe
Katika nchi za hovyo Africa, Kenya inaongoza, ninyi kura zenu ni kura za kikabila pekee, haiwezikani wakenya mkaungana lazima kabila lake wangemlindaHata ingekuwa Kenya, angetamani dunia ipasuke aingie ndani. Angebanwa mpaka aombe radhi, la sivyo angekosa kura za wanawake wote, weupe kwa weusi. Mambo ya hovyo-hovyo kiasi hiki yanaweza kutokea TZ tu. Ujinga au sijui upole wa kijinga umefanya watawala watudharau na kuamua kujisemea chochote kinachokuja akilini mwao bila kufikiri vizuri impact yake.