Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Take that, bitch!Mshamba wa Koromije huna na huongozwi na principles zozote, wewe ni pimbi mkabila tu.
Huu ni ushamba, kupanga mstari kumsindikiza Rais akienda Ulaya
Nilidhani huyu mama yenu atakuwa tofauti na waliomtangulia. Kwamba hatoendeleza huu ushamba wa viongozi mbalimbali wa serikali na idara kwenda uwanja wa ndege kumsindikiza aendapo safari na pale arudipo toka safarini. Yaani majitu yote hayo, kuanzia makamu wa Rais, mawaziri, sijui mkuu wa...www.jamiiforums.com
Huu ni ushamba, kupanga mstari kumsindikiza Rais akienda Ulaya
Kwa hiyo kama mwendazake aliharibu na huyu tukae kimya aendelee kuharibu? Majitu yalikuwa yanashangilia ujinga huo kipindi cha mwendazake sasa hivi ndiyo yako tena mstari wa mbele kupinga kitu kile kile! Ni upumbavu huo! Tutulie mama aendelee kujenga nchi!www.jamiiforums.com
Modus operandi ya Rais Magufuli ni ya ajabu!
Utendaji kazi wa Rais Magufuli ni wa ajabu kweli. Au naweza kusema ni ambao haufuati desturi ama kawaida ya utendaji wa mambo. Ni unorthodox, kwa kimombo 😜. Hivyo ndivyo ninavyoweza kuuelezea kwa kifupi. Fuatana nami nikuelezee kwa nini nasema hivyo; Nimeangalia video fupi ya hotuba...
Siku za hivi karibuni Rais Magufuli amekuwa akichangisha watu hela kwenye ziara zake
Nijuavyo mimi suala la kuchangia huwa ni la hiari. Siku za hivi karibuni Rais Magufuli amekuwa akichangisha watu hela kwenye ziara zake sehemu mbalimbali hapa nchini. Okay, lengo si baya kwa sababu huwa ni za kusaidia ujenzi wa miradi ya maendeleo. Ila mtindo anaoutumia...hmm! Hapana kwa...
Ni Rais wa Watanzania wote au ni Rais wa waliompigia kura tu?
Majuzi hapa Rais Magufuli alinukuliwa akiwaasa watu waukatae ubaguzi. Lakini kwa baadhi ya kauli zake, watu wanaweza kusema aanze yeye kwanza kuufanyia kazi huo ushauri wake maana mara kadhaa keshawahi kutoa kauli ambazo zilionekana kuwa ni za kibaguzi. Karibu miaka 3 ilopita, niliwahi kumsema...
Rais Magufuli mfukuze kazi huyu mtu..
Huyu mtu, si mwingine bali ni Paul Makonda, ambaye kwa sasa ni ndiye mkuu wa mkoa wa Dar-Es-Salaam. Huyu jamaa mpaka sasa hata sielewi kabisa kinachomfanya aendelee kuwa na kazi aliyonayo. Ni mpaka aharibuje ndiyo aweze kufukuzwa? Kwa huyu jamaa, rais Magufuli alikosea sana alipomteua kuwa...
Vikao vya CCM Ikulu vinakera
Kwa karibu miaka 10 sasa baadhi yetu tumekuwa tukipinga na kukemea vikali sana vikao vya CCM kufanyikia ikulu ya Dar es salaam. Haya mambo yalishika kasi sana enzi za Jakaya Kikwete [ambaye siku hizi ni kipenzi cha makamanda]. Magufuli naye sasa anauendeleza huo utaratibu wa hovyo. Hii...
When you lose
When you lose control, you lose balance. When you lose balance, you lose reason. When you lose reason, you lose logic. And when you lose logic, you basically lose your moral compass. Enter Paul Makonda or whatever his name is. He has lost all the above. An argument can be made he never had...
Please sir, your ego is not your amigo!
I could write a listicle about all the foolish ideas this guy has come up with since he became the "Governor" of Dar-Es-Salaam. But I'm not going to do that here. Instead, I'll go straight to his latest grand idea. That being the creation of a database that will contain the names of all married...