Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakati wa jiwe hukuwa mkali hivi kama pilipili kichaa kwenye masuala ya kufuata Katiba!Ushauri pekee wa kutolewa kwa sasa ni kuiheshimu na kuifuata katiba iliyopo ambayo inaruhusu shughuli za kisiasa za vyama vya kisiasa.
Hakuna tena haja ya kuandaa kanuni!
Kanuni za nini?
Tunaongozwa na viongozi ama wasioijua katiba au ambao hawaiheshimu kabisa!
Nadhani hiyo haki kuna watu waliitumia vibaya, sasa ni muda muafaka wa kuangalia hiyo mikutano inafanyika vipi, haiwezekani baada tu ya uchaguzi nchi nzima ianze kampeni kwa uchaguzi ujaoKwani vyama vya siasa kufanya mikutano ya hadhara sio haki yao kikatiba?... anyway....wenye kufanya siasa wanaelewa zaidi.
Kwani lengo la hiyo mikutano huwa ni kampeni tu...?Nadhani hiyo haki kuna watu waliitumia vibaya, sasa ni muda muafaka wa kuangalia hiyo mikutano inafanyika vipi, haiwezekani baada tu ya uchaguzi nchi nzima ianze kampeni kwa uchaguzi ujao
Muongo wewe!Wakati wa jiwe hukuwa mkali hivi kama pilipili kichaa kwenye masuala ya kufuata Katiba!
Umepatwa na nini?
minaamini katika kutunga au kubadiri kanuni inamaana zile za mwanzo hazikukidhi au zinamapungufu ,sheria ya vyama vya siasa ipo hivyo kanuni zitungwe kuzingatia sheria zenyewe mfano jeshi la police libakie kwenye ulinzi wa laia na mali zao, wasimamie usalama na sikupanga nani afanye siasa nanani asifanye.Waziri wa katiba na sheria ameagizwa atunge kanuni ambazo zitaratibu kufanya mikutano ya hadhara ya vyama. Vya siasa. Hivyo sasa ni ruksa.
===
Rais Samia Suluhu Hassan ametoa agizo kwa Waziri wa Katiba na Sheria, George Simbachawene kuandaa kanuni zitakazoelekeza jinsi ya kufanya mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa.
Taarifa iliyotolewa leo Jumamosi, Machi 12, 2022 na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Zuhura Yunus imeeleza kuwa Rais Samia ametoa maelekezo hayo leo Jumamosi Machi 12, 2022 baada ya kupokea maazimio ya awali kutoka kikosi kazi alichokiteua cha kufuatilia hoja zilizojitokeza katika mkutano wa wadau wa demokrasia ya vyama vingi vya siasa uliofanyika Desemba 15-17, 2021 Dodoma.
Rais Samia amemwagiza Waziri huyo kushirikiana na Tanganyika Lawa Society (TLS) pamoja na Zanzibar Law Society (ZLS) kutengeneza kanuni hizo.
“Kikosi kazi hicho chenye wajumbe 24, na ambacho kinawajibika moja kwa moja kwa Mhe. Rais, kiliwasilisha maazimio hayo Ikulu Jijijni Dodoma. Maazimio hayo yamegawanyika katika makundi matatu ya muda wa utekelezaji” imeeleza taarifa hiyo.
Taarifa hiyo imeeleza kuwa azimio la muda mfupi ni uandaaji wa kanuni zitakazoelekeza jinsi ya kufanya mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa.
“Baadhi ya maazimio ya muda wa kati ni pamoja na rushwa na maadili katika uchaguzi, ruzuku, elimu ya uraisa, huku masuala yanayohusu uchaguzi wa katiba mpya vikiwa ni mpango wa muda mrefu”
Mwananchi
Mteule wa Rais aandae utaratibu wa mikutano ya siasaMbona utaratibu wa kufanya hayo upo!
Why are these people reinventing the wheel???
Katiba, hata kama ni pungufu na iliyopitwa na wakati, ipo lakini haifuatwi.
Hiyo mpya ndo itakuwaje sasa?
Huu ni ujuha.
Mteule wa Rais aandae utaratibu wa mikutano ya siasaMbona utaratibu wa kufanya hayo upo!
Why are these people reinventing the wheel???
Katiba, hata kama ni pungufu na iliyopitwa na wakati, ipo lakini haifuatwi.
Hiyo mpya ndo itakuwaje sasa?
Huu ni ujuha.
Huyu[emoji116] alikuwa wewe?Muongo wewe!
Ndugu yangu usitupofushe wakati ramani inasomeka vyema. Mama aliminywa kisawasawa akaambiwa aende kwa Lissu kupata maagizo. Baada ya mkutano wao Lisu aliwahi fasta kutuhabarisha makubaliano ili ulimwengu usikie. Mama akasema "tumesawazisha". Lissu alisema wamekubaliana Mbowe afutiwe mashtaka bila masharti na hili limefanyika, wale 19 watolewe bungeni hili bado ila linakija, kuwepo na mikutano ya hadhara ndo hili linatekelezwa. Ukitaka kuhakiki nenda YouTube uhakiki ndo utaona mama anacheza ngoma ya Lisu.Bado anatokea mmakonde mmoja na kusema wanawake ni viumbe dhaifu, wakati kila mianaume ya upinzani inaitwa ikulu na huko kwa mabeberu kisha inainamishwa vichwa kwa sauti laini inakuwa miimba mapambio.
Hata Samson na miguvu yake aliwezwa na mwanamke mmoja tu legevu legevu kimuonekano, the same kwa Zitto, Mbowe na Lissu.
Maendeleo hayana chama
Kwenye hizi Kanuni mpya Mapolisi yasitajwe kabisa zaidi ya kutoa ambayo ndio kazi yao.Inavoonekana mwendazake alizifuta kanuni kimya kimya,ndiyo maana haionekani kwenye katiba,vinginevyo Kama ameakiza kanuni zitungwe sasa,inavoonekana vyama vingi ndiyo vinaanzishwa sasa.
Moja ya michango yako yenye maneno kagumu toka wewe kuingia jf ni hii aseeeUkiwa na utapiamlo wa akili ukaona nyuzi kama hizi ambazo zinataja neno 'Rais' kila saa unaweza kufikiri kuwa ni kweli Tanzania ina Rais.
I love it! Haya twende kazi.Huyu[emoji116] alikuwa wewe?
‘Udikteta’ wa Magufuli na uhuru wa kujieleza
Wiki iliyopita serikali mpya ya Zimbabwe iliamua kufunga upatikanaji wa intaneti nchini humo kama malipizo ya maandamano ya watu kupinga upandaji wa bei ya mafuta. Hapa Tanzania kuwekuwepo na kila aina ya lawama kwa utawala wa Rais Magufuli. Rais Magufuli keshaitwa kila aina ya majina. Jina...www.jamiiforums.com
Wewe dimwit ulikuwa unatetea uvunjaji Katiba wa jiwe halafu unaleta kiuzi chako cha kubomoa cha kujibaraguza. Huna akili au ni mshamba usiyejua tofauti ya uvunjaji Katiba na upuuzi mwingine.I love it! Haya twende kazi.
Huyu aliyeanzisha hii mada ni baba yako au bwana wako!
Bomoabomoa Mwanza: Rais Magufuli omba radhi kama....
Kauli uliyoitoa mapema leo huko Mwanza ya kwamba watu wa huko 'wasibomoleshwe' nyumba zao kwa sababu wao ndo walokupa urais si nzuri hata kidogo. Ni kauli ya kibaguzi kabisa na ambayo inapaswa kupingwa na mtu yeyote yule mwenye akili timamu. Wewe unatoa kauli kama hiyo huko Mwanza huku kukiwa...www.jamiiforums.com
Umeongea KWa herufi kubwa ,mikutano sawa ila KWANZA katiba mpya kwanzaMikutano ya siasa ya nini?
Katiba mpya ndiyo hitaji la watanzania
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Uratibu na Bunge kwa kushirikiana na Tanganyika Law Society (TLS) pamoja na Zanzibar Law Society (ZLS) ameagizwa kuandaa kanuni zitakazoelekeza namna ya kufanya mikutano ya hadhara ya Vyama vya Siasa...