Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,168
- 39,118
Kanuni ndo huelekeza utekelezaji wa sheria.Kwani sheria mama inasemaje mpaka zianze kanuni tena? Maana katiba ipo wazi kabisa
Sent from my M2003J15SC using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kanuni ndo huelekeza utekelezaji wa sheria.Kwani sheria mama inasemaje mpaka zianze kanuni tena? Maana katiba ipo wazi kabisa
hitaji lako wwMikutano ya siasa ya nini?
Katiba mpya ndiyo hitaji la watanzania
haifatwi kwakuwa ina udhaifu wa uwajibishaji. Pia ina double standard nyingiMbona utaratibu wa kufanya hayo upo!
Why are these people reinventing the wheel???
Katiba, hata kama ni pungufu na iliyopitwa na wakati, ipo lakini haifuatwi.
Hiyo mpya ndo itakuwaje sasa?
Huu niujuha.
Huna hoja ndo maana unaleta viroja. Ingine hii hapa. Nayo aliiandika nani? Bwana’ako eeh? 🤣Wewe dimwit ulikuwa unatetea uvunjaji Katiba wa jiwe halafu unaleta kiuzi chako cha kubomoa cha kujibaraguza. Huna akili au ni mshamba usiyejua tofauti ya uvunjaji Katiba na upuuzi mwingine.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukiwa na utapiamlo wa akili ukaona nyuzi kama hizi ambazo zinataja neno 'Rais' kila saa unaweza kufikiri kuwa ni kweli Tanzania ina Rais.
Tusubiri tuone kitakachokuja. Tuna haki ya kukiunga mkono au kukipinga kama tulivyopinga vilivyopita. Ni JF iliyo huru iliyotufikisha hapa ambapo Wenye mamlaka wamelegeza misimamo. Ni mbinyo wa humu na nje unaoleta haya Sasa. Tujipe Muda.Ushauri pekee wa kutolewa kwa sasa ni kuiheshimu na kuifuata katiba iliyopo ambayo inaruhusu shughuli za kisiasa za vyama vya kisiasa.
Hakuna tena haja ya kuandaa kanuni!
Kanuni za nini?
Tunaongozwa na viongozi ama wasioijua katiba au ambao hawaiheshimu kabisa!
Hakuna hata siku moja kanuni za sasa zimelalamikiwa! hakunaUshauri pekee wa kutolewa kwa sasa ni kuiheshimu na kuifuata katiba iliyopo ambayo inaruhusu shughuli za kisiasa za vyama vya kisiasa.
Hakuna tena haja ya kuandaa kanuni!
Kanuni za nini?
Tunaongozwa na viongozi ama wasioijua katiba au ambao hawaiheshimu kabisa!
Huu ndo uhalisia. Yaani umpe platform mpinzani ya kuongea halafu aje aunge mkono Kila kitu? Kwa Watanzania wapi hao? Si watakususa kama Mrema na Cheyo? Kuna wanasiasa walikuwa na upepo wa kupendwa kama hao? Lakini walipojifungamanisha na CCM Kwa Kila kitu wakapotea kwenye ramani.Mbona mikutano ilikuwepo wakati wa JK na kelele hazikuisha, sembuse leo mikutano na mikanuni juu? Kelele haziwezi kuisha mpaka kila mtu apate haki yake.
Kabisa!Hakuna hata siku moja kanuni za sasa zimelalamikiwa! hakuna
Kilicholalamikiwa ni matumizi mabaya ya mamlaka kama Polisi na Serikali kukiuka kanuni zilizopo
Kuandika kanuni mpya kuna lengo moja, kuandika mambo yatakayowabana Wapinzani
Hapo ndipo tatizo lilipo. Kwa uhakika sheria inataka kutoa taarifa tu na wala si kibaliTatizo siyo kanuni bali utekelezaji wa kanuni hizo. Ninajua kuwa kanuni zipo tangu vyama vingi vilipoanza, lakini utekelezaji wake ndio umekuwa na matatizo kwa pande zote mbili husika. Kwa upande wake serikali imekuazuia kutoa vibali vya mikutano kama kinyume na kanuni zinavyotaka kwa kisingizio cha usalama,
Ikiwa kuna uvunjaji wa sheria si mahakama ipo?na vyama vya siasa pia kwa upande wake (siyo vyote) vimekuwa vinatumia mikutono hiyo kinyume na matarajio yake ikiwamo na kuhamasisha uvunjaji wa sheria kwa kutumia kigezo cha demokrasia. Kanuni zilziopo zinatakiwa zifuatwe sawasawa na wahusika wote.
Hapana, kuna upotoshaji mkubwa sana katika hiliNadhani hiyo haki kuna watu waliitumia vibaya, sasa ni muda muafaka wa kuangalia hiyo mikutano inafanyika vipi, haiwezekani baada tu ya uchaguzi nchi nzima ianze kampeni kwa uchaguzi ujao
Huna hoja ndo maana unaleta viroja. Ingine hii hapa. Nayo aliiandika nani? Bwana’ako eeh? [emoji1787]
Nataka Rais Magufuli ashindwe
Miezi michache iliyopita rais Magufuli alisema anatamani malaika ashuke [sijui ashuke toka wapi] aje kuizima mitandao ya kijamii ambayo tumekuwa tukiitumia kupashana habari na kubadilishana maoni na mawazo kuhusu mambo mbalimbali. Baadhi yetu tuliyachukulia maneno hayo kama ishara ya mambo...www.jamiiforums.com
Si kweli, katiba ya mwaka 1977 iliandikwa kwa muda gani?Sijaele
Eti katiba na uchaguzi ni mpango wa muda mrefu? Kwanini ziwe mpango wa muda mrefu?. Kwa hivyo Tume huru na Katiba Mpya sio priority kwa Sasa?.
Ni kwa sababu niko principled!Wewe mataga pori uliposema hivyo 2016 nini kilikufanya ufanye U turn 2019? Ulichoka kubeba box?
What is it about him that they don't like?
Happy Friday JF massive. To those of you in the anti-Magufuli brigade who are chagrined that what you had hoped for and prayed about didn’t pan out, maybe better luck next time. To those of you in the ‘resistance’ who relished in peddling calumnies about the demise of the president and now...www.jamiiforums.com
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ni kwa sababu niko principled!
Ukiwa unaongozwa na principles, hutojali personalities.
Nobody will be above your criticism nor below your praise.
Ndo maana nilipoona Magufuli yupo sawa, nilimuunga mkono. Nilipoona anakosea, nilimkosoa vikali.
Ni jambo jepesi sana lakini wewe huna uwezo wa kiakili wa kulielewa.
Ndo maana upo hapa unahaha kutafuta mada ambazo nilimuunga mkono Magufuli na zingine ambazo nilimpinga na kumkosoa, unazikacha.
Kwa vile wewe ni juha kama gunia la viazi mviringo, hata hiki nilichokiandika hapa sitegemei ukielewe!
[emoji1787][emoji3577]
Ikiwa kuna uvunjaji wa sheria si mahakama ipo
Kwani Kanuni zilizopo zina Tatizo gani?Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Uratibu na Bunge kwa kushirikiana na Tanganyika Law Society (TLS) pamoja na Zanzibar Law Society (ZLS) ameagizwa kuandaa kanuni zitakazoelekeza namna ya kufanya mikutano ya hadhara ya Vyama vya Siasa...
Ni kwa sababu niko principled!
Ukiwa unaongozwa na principles, hutojali personalities...
Duh!mkuu mbona kama una chuki zako binafsiMshamba wa Koromije huna na huongozwi na principles zozote, wewe ni pimbi mkabila tu.
Huu ni ushamba, kupanga mstari kumsindikiza Rais akienda Ulaya
Nilidhani huyu mama yenu atakuwa tofauti na waliomtangulia. Kwamba hatoendeleza huu ushamba wa viongozi mbalimbali wa serikali na idara kwenda uwanja wa ndege kumsindikiza aendapo safari na pale arudipo toka safarini. Yaani majitu yote hayo, kuanzia makamu wa Rais, mawaziri, sijui mkuu wa...www.jamiiforums.com
Huu ni ushamba, kupanga mstari kumsindikiza Rais akienda Ulaya
Kwa hiyo kama mwendazake aliharibu na huyu tukae kimya aendelee kuharibu? Majitu yalikuwa yanashangilia ujinga huo kipindi cha mwendazake sasa hivi ndiyo yako tena mstari wa mbele kupinga kitu kile kile! Ni upumbavu huo! Tutulie mama aendelee kujenga nchi!www.jamiiforums.com