Rais Samia aagiza Vyombo vya Uchunguzi kumpa taarifa ya kina ya Kifo cha Ali Mohamed Kibao

Binafsi sitaki serikali ya Tanzania ichunguze kifo hiki na Nachukua Nafasi hii kuwakataza kabisa Viongozi wa Chadema kukubaliana na hili
Unawataka Scotland Yard au M12 au FBI? Nchi yetu imeharibika na mamlaka naona wanachekelea hawa wauaji waliopo kwenye mfumo
 
Hivi marehemu angekuwa na jina la Petro tungemsikia mheshimiwa?
 
 
Hizi gari zisizo na namba halisi zinatakiwa zianze tiwa kiberiti maana zenyewe ndo hutumika sana katika matikio ya ajabu ajabu
 
 

Attachments

  • IMG_20240908_210132_234.jpg
    112.8 KB · Views: 1
  • VID-20240905-WA0000.mp4
    5 MB
Bandu bandu humaliza gogo...

Walikuwa kimya bandu za mwanzo, sasa gogo lakaribia kwisha ndio wajifanya wanaongea...
 
Angekuwa Abdul, au katibu mkuu wa CCM ametekwa wangempata ndani ya 24 hours.
 
Nami nasubiri!
Rais Samia mtimue DGIS na IGP na Awadhi! utakuwa umejivua uhusika wa hili!

Mama hapa lazima abebe lawama. Wakati watu walipomlalamikia, alidai kuwa ni drama. Sasa badala ya kutweet aje kwenye podium aseme au atoe maagizo.
 
Hii habari ya kifo Cha baba yetu Ally kibao ,serikali itoe taarifa zake kwa kufuata ukweli.
Wananchi Wana taarifa nyingi Tena sahihi.
Hadi muda huu, kipima joto kinaonyesha wananchi kukikimbia chama tawala kwa asilimia 70.
Wananchi hawataki miradi na maendeleo ya Samia,wanataka uhai wao.
 
Ni wazi kuwa Kuna syndicate katika jambo Hilo, either kama ni kumchafua RAIS, serikali anayoongoza au whatever,but kama Mh RAIS kaagiza hivyo basi ni vyema tukapata taarifa kinagaubaga...
Cha kushangaza ni kuwa ni huyuhuyu Samia alipoambiwa achukue hatua dhidi ya watu wake wanaoteka na kuua watu, alionesha wazi kuwa upande wa hao mashetani, akasema kuwa kutekwa ni drama. Hata alipotrkwa ndugu yetu Ali RIP, hakutoa hata neno. Amekwishauawa, ndiyo anatoa kauli, na u aweza kuambiwa kuwa Rais atagharamia maziko!! Kwani umemsikia akitamka lolote juu ya wengine waliotekwa ambao mpaka sahizi hatujui waliko? Tais anasubiria siku ikionekana mifupa yao, atoe pole ili wajinga tumwoneana upendo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…