Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maamuzi ya hovyo snHayo maamuzi yanaongonzwa na emotions.
Yaani hawezi hata kulipa elfu 2 ya zahanatiWazazi wangapi Tanzania wanaoishi kama wakiwa na hawana wa kuwapatia huduma za afya bure!!!
Siasa za matukio zimekuwa trend Tanzania...
Pumbavu! Hata Ulaya, Marekani na Asia sio raia wote wanapata VIP Treatment!Kiki za kishamba sana, watengeneze mazingira watanzania wote waweze kupata huduma nzuri.... Hawa watu wamewahi kufika vijijini kweli? Wamefuta bima ya mtoto.... Wakatuwekea ma package ya ghali kweli... Yaani ujinga ujinga tu
Lini umeenda Marekani?Pumbavu! Hata Ulaya, Marekani na Asia sio raia wote wanapata VIP Treatment!
Mkuu wa Mkoa wa DSM Chalamila amesema Rais Samia ameumizwa Sana na Vifo vya Wanafamilia 4 waliofariki Kwenye Ajali huko Mbwewe Chalinze.
Chalamila amesema Rais Samia anajua Kuwa Mzee Msuya na mkewe walikuwa wanawategemea Watoto wao hawa waliofariki hivyo ameagiza Wazazi hawa Wawe Wanatibiwa kwa huduma ya VIP Class pale Muhimbili, JK, MOI na Hospital zote za Serikali.
Kadhalika Kesho Ujumbe wa Serikali utatembelea familia Moja Moja.za marehemu hawa kutoa rambirambi rasmi za Serikali.
RIP Sia Msuya na ndugu zako
Hapo si anatafuta kura maana hili jambo limekuwa ni la publicAwamu ya wapuuzi sana.badala ya kuboresha mfumo mzima wa afya yeye anaelekeza mtu mmoja atabiwe kwa matwakwa yake.kwa hiyo ambao hawajui waendelee kuteseka kwa kukosa huduma bora?
Si mupate ajari mitanzanzania yote, munangoja nini? Katorewa kafala Yesu itakua nyinyi?Kiki za kishamba sana, watengeneze mazingira watanzania wote waweze kupata huduma nzuri.... Hawa watu wamewahi kufika vijijini kweli? Wamefuta bima ya mtoto.... Wakatuwekea ma package ya ghali kweli... Yaani ujinga ujinga tu
Ni kweli lakino hapa amesimama.kama been nadamu na sio raisi 🙏Mihemko tu,vipo vya msingi vya kuagizwa na raisi kuliko hivi,kuna malalamiko ya huduma mbovu kwenye gov hospitals hizi ndiyo changamoto anazotakiwa azitolee kauli hizo favour akaachia waziri wake wa afya azigawe.
Ni mayatima wangapi tunawajua mitaani hawana wa kuwatibu?hao wazee kwa vyovyote wanaweza kufaidika kwa amana walizoachiwa na watoto wao au ikiwa walikuwa waajiriwa kuna mafao yao.
Ukumbuke tu Rais ndio Mfariji wa nchi, anatimiza wajibu wake wewe ndio una mihemkoMihemko tu,vipo vya msingi vya kuagizwa na raisi kuliko hivi,kuna malalamiko ya huduma mbovu kwenye gov hospitals hizi ndiyo changamoto anazotakiwa azitolee kauli hizo favour akaachia waziri wake wa afya azigawe.
Ni mayatima wangapi tunawajua mitaani hawana wa kuwatibu?hao wazee kwa vyovyote wanaweza kufaidika kwa amana walizoachiwa na watoto wao au ikiwa walikuwa waajiriwa kuna mafao yao.
MBONA WAZAZI WA AINA YA HAO WAPO WENGI SANA AU KWA KUWA HAWAJATANGAZWA?Mkuu wa Mkoa wa DSM Chalamila amesema Rais Samia ameumizwa Sana na Vifo vya Wanafamilia 4 waliofariki Kwenye Ajali huko Mbwewe Chalinze.