PreGE2025 Rais Samia acha kusema uongo na kukuza mambo. CHADEMA ilihamasisha mabadiliko ya uchaguzi sio vurugu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Jambo lililopo mahakamani ambapo ni muhimili mwingine kabisa halikupaswa kuzungumziwa na serikali ambao nao ni muhimili mwingine...
 
Kauli za Lissu na Heche huzisikilizi unasikiliza za Samia tuu?
Hizo kauli za Lissu na Heche hazina lengo jingine isipokuwa kutaka mabadiliko ya kikatiba na kisheria katika kurekebisha mifumo ya kiuchaguzi. Kura ya mwananchi ithaminiwe! Ibara ya 8 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania izingatiwe. Bila kusahau Ibara ya 3 inayozungumzia Multipartism. Nyie furahieni kutesa na kuwaua watu, shilingi huwa Ina pande mbili.
 
Tarehe nyingine iliyo hairishwa kesi jitahidi na wewe uende mahakamani
 
Huyu mama kama hadija kopa tu .... mafumbo na mipasho imemtawala
 
We bwege jitokeze siku kesi imetajwa tena, safari hii muage kabisa wengine mtarudi kwenye masanduku, mlipanga njama A kufanya uhalifu intelejensia iliwanasa mapema. Kila siku wapumbavu km nyie wanauawa.
******* dancing troup
 
Raisi aliesemaga hata mfanyeje CCM ndiyo itashinda unadhan anaweza kuwa mkweli. Hawa n wale wa kulia gizani. Watu wa GININGI. kwao nyeusi ni nyeupe
 
Inawezekana washauri wake wanamdanganya. Angetumia ile busara ya Rais Kikwete "Ya kuambiwa changanya na zako".
All in all ni kwamba, Mungu anapotaka kumuangusha mtu anamfanya aingee au kufanya maamuzi yatakayopelekea anguko lake. Mathalan Anguko la Ndugai Mungu lilipowadia, Mungu alimchochea azungumze maneno ambayo yalikuja kumtoa kwenye kiti. Asikiaye na afahamu!.
 
Ni dhahiri uhalifu uliofanywa na Jeshi la Polisi ulikuwa na baraka zote za Rais kuwa muwavunje miguu na mikono ilin wawe walemavu wa kudumu, Samia ni mwanake katili sana.
 
Mmekumbushwa kubuni mbinu mbadala za kujihami mwenzenu zimbabwe kabuni mfumo wa kuvuna umeme unaotokana na mawimbi ya radio nyie hata drone hamuwezi kuziunda, muda mwingi mnatumia kubeti na mikopo kausha damu hadi mnafuatwa majumbani saa 8 usiku, kikikiki

Nyie mnasali wapi? Huyo Mungu wenu ni tofauti na wa CCM?
 
Huwa nakaa nafikiria: Hivi, mabilioni ya Fedha yaliyotumika kwenye Mabadiliko ya KATIBA yamepotea hivi hivi kabisaaa, au...! Kama Taifa, tunaona sahihi kabisaa, au? Hii siyo vurugu!? Ni vurugu ya kiuchumi na kijamii na hasa kwa waTanzania maskini tulio ktk nchi hii! Siyo HAKI!
 
Tulishindwa kutetea wamasai wasihamishwe ngorongoro sahivi tunataka kumtetea Lisu kuwa sio muhaini
In short CCM wakiamua lao watanzania hawawezi kulibadilisha.
 
Tulishindwa kutetea wamasai wasihamishwe ngorongoro sahivi tunataka kumtetea Lisu kuwa sio muhaini
In short CCM wakiamua lao watanzania hawawezi kulibadilisha.
Tunaishi kwenye jamii ya kanyanga twende jamii ambayo unaweza kuisafisha ubongo ikafikiri unavyotaka wewe jamii ambayo haiwezi kuchakata fikra chanya na hasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…