Ndo maan mda wowote wakiamua lao sis hatuwezi kulibadili Bali tunalalamika tuu na hamna action yoyote ya maanaTunaishi kwenye jamii ya kanyanga twende jamii ambayo unaweza kuisafisha ubongo ikafikiri unavyotaka wewe jamii ambayo haiwezi kuchakata fikra chanya na hasi
Tupo wengiYaani hili mama ni liongo, nimemchukia vibaya sana. Hata nikiona picha yake najisikia kichefuchefu
Ana washauri wajinga na wenye roho mbaya na wenye tamaa ya kuendelea kuzurula ikulu wanamjaza uongo mwingi na kumtia ujasiri uchwara,nadhani ushauri wao mkubwa ni washughulikie wapinzani wakimbie nchi utawale kwa uhuruInawezekana washauri wake wanamdanganya. Angetumia ile busara ya Rais Kikwete "Ya kuambiwa changanya na zako".
All in all ni kwamba, Mungu anapotaka kumuangusha mtu anamfanya aingee au kufanya maamuzi yatakayopelekea anguko lake. Mathalan Anguko la Ndugai Mungu lilipowadia, Mungu alimchochea azungumze maneno ambayo yalikuja kumtoa kwenye kiti. Asikiaye na afahamu!.
Na ndie Yuko nyuma ya ukatili unaoendeleaWaswahili wanasema mkubwa hakosei
Kwa vile wewe ni Mwamposa ndio ulete unabii feki wako huku?.Kauli za Lissu na Heche huzisikilizi unasikiliza za Samia tuu?
Lissu aliahidi UASI, hatuwezi kukaa kimya bila kukemea kauli hiyo. UASI ni nini? Ni fujo za kisiasa zinazofanya nchi isitawalike. Hatuwezi kuigeuza nchi yetu kuwa ya vikundi vya waasi kama walivyo M23 na FDRL huko DRC.Nilimsikia Rais Samia anasema upinzani umehamasisha vurugu kwa kutaka mabadiliko kwenye uchaguzi sasa kuhamasisha mabadiliko ni vurugu za wapi ?
Ni wazi Samia anakaa anaongea uongo na kukuza mambo ili kukwepa hoja ya kufanya mabadiliko hayo, hii ina maana Samia anaenda kuwa Dikteta kwenye nchi.
Ni matumizi mabaya ya madaraka na ya Jeshi la Polisi kwa kufanya jambo kama hili lenye madai ya uongo.
Wale pia waliokwenda Mahakamani hawakwenda na silaha yoyote wala sio wahalifu, walienda kumuona kiongozi wao kila mmoja anajua sasa nashangaa Rais na CCM na polisi wanasema ni vurugu, kwenda mahakamani imekuwa ni vurugu ya wapi Samia unaenda kuwa dikteta.
Samia unapasww kujiuzulu kwa kulinda heshima yako
Mkuu, hii ni KUFURU!Mungu ana ubia kwenye CHADEMA? Huwa mnamtaja sana kam vile ni katibu mwenezi wa chama chenu
Mtashughulikiwa mkijifanya bichwa ngumuNilimsikia Rais Samia anasema upinzani umehamasisha vurugu kwa kutaka mabadiliko kwenye uchaguzi sasa kuhamasisha mabadiliko ni vurugu za wapi ?
Ni wazi Samia anakaa anaongea uongo na kukuza mambo ili kukwepa hoja ya kufanya mabadiliko hayo, hii ina maana Samia anaenda kuwa Dikteta kwenye nchi.
Ni matumizi mabaya ya madaraka na ya Jeshi la Polisi kwa kufanya jambo kama hili lenye madai ya uongo.
Wale pia waliokwenda Mahakamani hawakwenda na silaha yoyote wala sio wahalifu, walienda kumuona kiongozi wao kila mmoja anajua sasa nashangaa Rais na CCM na polisi wanasema ni vurugu, kwenda mahakamani imekuwa ni vurugu ya wapi Samia unaenda kuwa dikteta.
Samia unapasww kujiuzulu kwa kulinda heshima yako
Samia ni janga la Taifa!Nilimsikia Rais Samia anasema upinzani umehamasisha vurugu kwa kutaka mabadiliko kwenye uchaguzi sasa kuhamasisha mabadiliko ni vurugu za wapi ?
Ni wazi Samia anakaa anaongea uongo na kukuza mambo ili kukwepa hoja ya kufanya mabadiliko hayo, hii ina maana Samia anaenda kuwa Dikteta kwenye nchi.
Ni matumizi mabaya ya madaraka na ya Jeshi la Polisi kwa kufanya jambo kama hili lenye madai ya uongo.
Wale pia waliokwenda Mahakamani hawakwenda na silaha yoyote wala sio wahalifu, walienda kumuona kiongozi wao kila mmoja anajua sasa nashangaa Rais na CCM na polisi wanasema ni vurugu, kwenda mahakamani imekuwa ni vurugu ya wapi Samia unaenda kuwa dikteta.
Samia unapasww kujiuzulu kwa kulinda heshima yako
Hiyo ndiyo CCM ya Chukua CHako Mapema hata ule mpango wa maono 2025 uliozinduliwa mwaka 2000 umekufa kifo cha mendeHuwa nakaa nafikiria: Hivi, mabilioni ya Fedha yaliyotumika kwenye Mabadiliko ya KATIBA yamepotea hivi hivi kabisaaa, au...! Kama Taifa, tunaona sahihi kabisaa, au? Hii siyo vurugu!? Ni vurugu ya kiuchumi na kijamii na hasa kwa waTanzania maskini tulio ktk nchi hii! Siyo HAKI!
Kama Mungu atatupa kibali cha kuendelea kutumia pumzi yake utakuja kukiri hayaSio kweli, huyu amewaachia shamba wavune wanavyotaka, hawezi kuwa mbaya! Atalindwa Kwa nguvu zote!
Mwamposa unaweza kuniwekea ushahidi wowote wa Chadema kufanya vurugu zozote kwenye Mahakama yoyote tangu waanze kukamatwa?Kauli za Lissu na Heche huzisikilizi unasikiliza za Samia tuu?
kwani we unadhani Mungu ni mwana ccm?Mungu ana ubia kwenye CHADEMA? Huwa mnamtaja sana kam vile ni katibu mwenezi wa chama chenu
kwanza mseme mnataka uchaguzi au hamu utaki ili tujue mnachopambania ni nini maana mnalia lia sana mpk mnakeraNilimsikia Rais Samia anasema upinzani umehamasisha vurugu kwa kutaka mabadiliko kwenye uchaguzi sasa kuhamasisha mabadiliko ni vurugu za wapi ?
Ni wazi Samia anakaa anaongea uongo na kukuza mambo ili kukwepa hoja ya kufanya mabadiliko hayo, hii ina maana Samia anaenda kuwa Dikteta kwenye nchi.
Ni matumizi mabaya ya madaraka na ya Jeshi la Polisi kwa kufanya jambo kama hili lenye madai ya uongo.
Wale pia waliokwenda Mahakamani hawakwenda na silaha yoyote wala sio wahalifu, walienda kumuona kiongozi wao kila mmoja anajua sasa nashangaa Rais na CCM na polisi wanasema ni vurugu, kwenda mahakamani imekuwa ni vurugu ya wapi Samia unaenda kuwa dikteta.
Samia unapasww kujiuzulu kwa kulinda heshima yako
Sawa kabisa, nchi iliojaa wasomi kibao eti tunaongozwa na kilaza Samia. Aibu kubwa kwa wajinga ccmNi aibu sana kwa nchi kua na rais kama SAMIA.
Baba roho mbayaSamia anavaa ushungi ili kufunika roho mbaya yake
Yaani hili mama ni liongo, nimemchukia vibaya sana. Hata nikiona picha yake najisikia kichefuchefu