PreGE2025 Rais Samia acha kusema uongo na kukuza mambo. CHADEMA ilihamasisha mabadiliko ya uchaguzi sio vurugu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Eti chadema haikuhamasisha vurugu. Kuhamasisha kukinukisha ni nini?
Muwe mnaona aibu japo kidogo!
 

Attachments

  • 6041359-3f34be6bafaa6cd5192aa8994cbf6feb.mp4
    12 MB
Wale walioimba wapinzani wakifa watawatupa mtoni wawe chakula cha mamba wamechukuliwa hatua gani?
Kama mtu hakupendi siyo kosa kisheria, hata we ulishangilia kifo Cha Magufuli ulichukuliwa hatua gani?
Sawa kabisa, nchi iliojaa wasomi kibao eti tunaongozwa na kilaza Samia. Aibu kubwa kwa wajinga ccm
 
We bwege jitokeze siku kesi imetajwa tena, safari hii muage kabisa wengine mtarudi kwenye masanduku, mlipanga njama A kufanya uhalifu intelejensia iliwanasa mapema. Kila siku wapumbavu km nyie wanauawa.
Ipo siku na wewe utaingia kwenye sanduku fala we
 
We punguani, huna mamlaka ya kumwita Mh Rais wa nchi ati mwongo, huna adabu kelbu we!! Waliposema wanakwenda kukinukisha kwako unaona ni kwenda kupika biriani sio!!? Hovyo kabisa mbwa nyie.
 
The president has lost a CONTROl . She does not know what else to do . The most scariest thing.
 
We punguani, huna mamlaka ya kumwita Mh Rais wa nchi ati mwongo, huna adabu kelbu we!! Waliposema wanakwenda kukinukisha kwako unaona ni kwenda kupika biriani sio!!? Hovyo kabisa mbwa nyie.
Ila yeye anayo adabu ya kugawa mali zetu na kuwapa waarabu ? Anayo adabu ya kujaza familia yake kwenye ofisi za Umma. Wewe ni MJINGA
 
Wengi wenye AKILI TIMAMU wanaamini Madai ya CDM ni ya msingi kabisa..tunahitaji Katiba Mpya + Tume Huru ya UChaguzi sio hii kiini macho
 
Usimbishie,

Ndivyo alivyoambiwa na washauri wake,

Kwamba wakienda court watakusanyana kukuijia kule ferry.
 
Anatuona sisi wananchi ni wajinga.
 
No reform no election imekua mwiba mchungu kwa hawa wazee wa kula kwa urefu wa kamba
 
 

Attachments

  • afa324ad11e13100ecbde650d0c342b2_1743188102623.mp4
    5.9 MB
Nionavyo mimi, tatizo ni hofu waliyo nayo watawala kutokana na maovu waliyoyatenda kwa kipindi chote wakiwa madarakani. Wanawaza ni nini hatima yao na ya wapendwa wao wakiachia madaraka. Ni nini hatima ya mali walizojilimbikizia kwa njia ovu. Hofu hii ni kubwa na inawafanya watake kung’ang’ania madaraka, ikiwezekana hadi waondoke duniani. Na hii si kwa Tz tu bali ni kwa viongozi karibu wote Afrika. Fikiria Paul Biya, Rais wa Cameroon, kakaa madarakani kwa zaidi ya miaka 40 na ametangaza kugombea tena ktk uchaguzi wa Oktoba, akiwa na miaka 92! Na kisichoshangaza kwa Afrika, ana wapambe aka chawa wa kutosha wanaompigia debe.
 
Usifikiri kila mtu ni mjinga au muongo kama wewe. Mbona clip zipo nyingi tu Mh.Lissu akisema kua watavuruga uchaguzi.

..kilichotokea 2019, 2020, na 2024 unaweza kukiita uchaguzi?

..mbona siku zote Ccm wanavuruga uchaguzi na hakuna hatua zinachukuliwa?

..Lissu anaposema atavuruga uchaguzi maana yake ni atawazuia Ccm kufanya madudu yaliyofanywa 2019, 2020, na 2024.

..Nini kinapaswa kufanyika?

..Kwanza tukubaliene sisi wote ni ndugu, na tuna HAKI SAWA.

..Tukae chini kama Watanzania tutengeneze utaratibu ambao utawezesha uchaguzi kuwa HAKI ili wadau wote waridhike.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…