Rais Samia afanya mabadiliko Wakuu wa Mikoa. Ally Hapi, Kigaigai, Kafulila na Eng. Robert Gabriel watemwa

Kaharibu wapi mkuu, hebu eleza.
Huyu bwana sijui kama atafika 2025 katika serikali hii, maanake ni kama ha'fit' kwenye kundi.
 
Lkn ni mtu poa sana, amenyooka na hamung'unyi maneno....

Sema CCM mtu kama yule hawamuelewi maana wengi wao ni wanafiki...
Hana upoa wowote, Kama Ni jamaa yako mwambie ajiamdae, gharika laja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…