Rais Samia afanya mabadiliko Wakuu wa Mikoa. Ally Hapi, Kigaigai, Kafulila na Eng. Robert Gabriel watemwa

Utajiskiaje sku ya kuapishwa wateule wapya Raisi akatangaza nafas zao mpya....kuombeana mabaya hakujawah kuleta tija , Mungu hujibu ombi la kila mmoja Kwa nyakat tofaut regards anapitia magumu kiasi gan na ana makando Kias gan
 
Mimi naona bora wa baki na kazi zao za kijeshi tu.
 
Zama zimebadilika njooni mtaani mjue machungu ya tozo ya miamala na bidhaa kupanda maradufu huenda mlipandisha mabega au ni jambo la kupokezana kijiti maana sisi wote ni watanzania
Basi Kafulila alipoteuliwa nilikuwa na shida fulani nilimpigia simu mara 70 na text 10 hakujibu mpaka leo anatenguliwa. Nadhani ajifunze siyo kila mtu wa anayekupigia simu ana njaa
 
Mwanza kulikuwa na shida labda kama mlikuwa hamuoni!! Acha huyu jamaa aondoke aisee

Maji ni shida huu mwez wa pili sasa
Miradi mingi inasua sua, mfano termina ya airport pale, soko kuu kati pale na mingine mingi tu
Upigaji hela kwenye halmashauri haswa mapato ya ndani

Mkuu wamkoa yeye kila siku kwenye ziara ambazo hazikuwa naimpact yoyote kuuboresha mji! So acha wamlekichwa!! Ikizingatiwa uchaguzi unakaribia mama anajua kamda yaziwa anahitaji support from the ground so kaletwa malima ki mkakati
 
Atakuwa alikwisha jiandaa kisaikolojia...
Its a game of thrones! Leo yuko huyu, kesho yuko yule...
Leo uko kwenye kiyoyozi, kesho uko kwenye mionzi, unapigwa na jua.
Leo unafunguliwa mlango wa V8, kesho unashika bomba kwenye DCM la Gongo la Mboto.
Hata nae atakuwa kashukuru. Maana huwezi fanya kazi na watu wanaokuvizia muda wote wakutoe. Hata ile kauli ya mama alipotembelea mara kuwa nilitaka niwapige wote chini ilidhihirisha.

Kikubwa records zake za utendaji tunazo na ally ni mwanasiasa asiyechoka.
 
Pongezi kwawalio pandishwa, na pia walio baki kwenye vituo vyao, ila namshauri Mkuu wa Mkoa wa JIji la DSM yeye pamoja wa wakuu wake wa wilaya waongeze bidii kwenye mambo ya msingi, haswa yanayo husu maendeleo ya wananchi.
wajitahidi kutatua kero za wananchi ,
wajitahidi kufuatilia miradi inayo endelea ktk maeneo yao na kuhahiki thamani ya pesa.

Kero ni nyingi.
 
Na Ile ziara yake iliyoua waandishi wa habar , ana prefer kuxungukia mkoani mara kwenda ukerewe wakat kuna cheap flight ya meli chap kidog , mji ulishakuwa mchafu na hauko organized jamaa bonge la Fala Sana yule
 
Kuna wajeda naona kama wamenyofolewa, kama yule wa Mtwara...

Ngoja tuone watapangiwa wapi
 
Wengine wanatumia fursa ku set mambo yao kwa muda mfupi kwakuwa wanajua aina ya kazi ilivyo.
Ukipata ukuu wa Mkoa hata kwa miezi 6 tu fanya kitu.
Na huo ndio ukweli !! Refers kwa yule wanagombea ghorofa na tajiri wa yanga! Ana mighorofa mingapi ? Kwa Africa Tumbo kwanza !! Kwa wazungu Nchi kwanza !! Ndio maana wanalipana mishahara ya kujikimu kimaisha hata kama huna kazi huko ulaya !! Siye tutasubiri sana !!
 
Wengine wanatumia fursa ku set mambo yao kwa muda mfupi kwakuwa wanajua aina ya kazi ilivyo.
Ukipata ukuu wa Mkoa hata kwa miezi 6 tu fanya kitu.

Kwahiyo wapo kimaslahi yao zaidi
 
Basi Kafulila alipoteuliwa nilikuwa na shida fulani nilimpigia simu mara 70 na text 10 hakujibu mpaka leo anatenguliwa. Nadhani ajifunze siyo kila mtu wa anayekupigia simu ana njaa
Kanafiki sana hako kamtu
 
Chalamila angeletwa Jiji la DSM lingebadilika.
Chalamila ni mchapakazi hodari sana, tunashukuru kwa Rais kuliona hilo na kumrudisha ulingoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…