Rais Samia afanya mabadiliko Wakuu wa Mikoa. Ally Hapi, Kigaigai, Kafulila na Eng. Robert Gabriel watemwa

Chalamila angeletwa Jiji la DSM lingebadilika.
Chalamila ni mchapakazi hodari sana, tunashukuru kwa Rais kuliona hilo na kumrudisha ulingoni.
Atakuwa kapiga goti sana huyoo
 
Zama zimebadilika njooni mtaani mjue machungu ya tozo ya miamala na bidhaa kupanda maradufu huenda mlipandisha mabega au ni jambo la kupokezana kijiti maana sisi wote ni watanzania
Kituo kifuatacho ni covid19
 
Hizi Kazi za Umma hizi kuna mzee mmoja enzi za Magufuli alikua Katibu Mkuu alikua anatukana watu sana Sasa katemwa yuko pale Ununio anakunywa pombe ukikutana nae amekua mdogo anaona aibu tu....Katika kazi hutakiwi kuinunulia koti ni kazi ya umma...huisha muda wowote...
 
Ambassador Brig.Gen Wilbert A. Ibuge atoa somo kuhusu Historia ya mapambano kusini mwa Afrika pamoja na masuala ya ulinzi na usalama ili amani iwepo na shughuli zingine za kawaida za maisha ya raia kama kilimo, uvuvi, biashara n.k ziendelee

 
Ina maana kwa kafulila kutakua na wakuu wa mikoa wawili?
sijaona alipohamishiwa
 
Mkuu hapa Dodoma pana matatizo makubwa ya ardhi. Watu walipimiwa maendo yao bila taarifa na wakamilikishwa watu wengine huko Swaswa na kwingineko! Mtaka alipoteuliwa tulimkaribisha kwa kilio hicho..alijaribu kusuluhisha kwa namna isiyozaa matunda ..wiki kadhaa zilizopita,alitangazaa kusimamishwa kazi kwa baadi ya wafanyakazi idara ya ardhi huku CED wa sasa ndiye aliyekua boss wa idara ya ardhi enzi za kutengeneza hiyo migogoro

Baada ya kufeli kutatua migogoro ya ardhi na kutoa haki kwa wenye haki mama ameona atakosanishwa na wananchi akamuondoa na kuleta fundi wa eneo hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…