Rais Samia afanya Mabadiliko ya Makatibu Tawala na Wakurugenzi Watendaji Serikali za Mitaa

Magufuli kumbe alimpa mwanae Ruth,ukatibu tawala. Yule aliyekuwa Kisarawe hajarudishwa tu kwenye ukatibu tawala, yule alitolewa na Magufuli kisa alimkula Jocate.
Kumtoa hakusaidia kitu maana anaendelea kumkula as long as mwengelo alimpenda ataendelea kumpa tu
 
Maandalizi ya wizi wa kura
 
Huko kisarawe ni Wamama watupu kuanzia mkuu wa wilaya, katibu tawala, mkurugenzi, wakuu wa idara.....hata Kama 50/50 sio poa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yana mwisho wake
 
Tuwekee na mkeka wa wakurugenzi. Maana kuna kama mama kamoja hivi snitch nilizinguana nako.

Nataka nione kama na kenyewe kamehamishwa kutoka Halmashauri fulani hivi. Maana siyo kwa kujisikia kule.
kapo au
 
Hawez pewa cheo kidogo kama hicho, atakuwa either majina yanafanana au ndugu tu Kwa mbali
Huyo ni mtoto wa Magufuli kabisa. Ushahidi ni huu hapa waziri Kabudi akisoma historia ya mwendazake wakati wa msiba wake.
 
Wakurugenzi wamebaki kwenye vituo vya kazi ila mkeka umetolewa leo.

Saa100 ni Rais wa ajabu duniani.
 
Huyu asiwaondoeni kwenye Reli.

Bandari Inauzwa Bandari Inauzwa
Hao hao hao Kamata hao, kamata hao, shika hao
Haiwezi kuuzwa kwa sababu Mkataba unapitia Bungeni. Ni ubia, na mkataba lazima utakuwa mzuri sana
 
Duuuu mbona kama Imani Moja tupu au nmeona Mimi pekeangu?
 
Aliyekuwa mkurugenzi wa mkuranga hana chembe ya maadili ya kazi wamemtoa hafai yule na hajui uongozi wamepelekwa Igunga kazi wanayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…