Rais Samia afanya makubwa, wafanyakazi walipiwa mikopo yao

Umeelezea vzr
 
Unamdanganya nani?
 
Ujinga hautaisha duniani ????
 
Sawa na ishatokea hivyo ila bado kama wahusika wa hiyo mikopo tunastahili ufafanuzi wa kupunguzwa kwa madeni yetu. Iko siku itakuja kuleta shida ya malimbikizo while ushajipa uhakika wa deni kuisha hapo baadae.
 
Mkuu Ulitaka akakatikiwe mauno mama yako au? ,Mimi siwezi acha ipongeza serikali yangu maana ndo inaniweka mjini,sasa wewe Ulitaka nimpongeze yule Mrs Robert Amsterdam au yule Makengeza?
Labda wanataka umpongeze hilda newton, au mdude[emoji23][emoji23]
 
Wachumi watuambie hii ndiyo STIMULUS package??
Ni jambo JEMA!
Kwanini itarget wafanyakazi Tu??
Itufikie na wamachinga jamani!
Wakulima saa hizi wanakopeshwa kwa riba nafuu sana tangu juzi, kama una shamba wahi ukajichotee pesa CRDB
 
Kwahio nani anachukua mzigo wa ku-cover hizo 200k; Benki, Rais anatoa kwenye mshahara wake au Kodi na Tozo zetu ndio zinaenda kulipia mikopo ya watu ?

Huoni kama ni kuweka kitu sustainable ni bora kushusha interest rates kwa kila mtu na sio sarakasi ambazo hazina ufafanuzi
 
Wew kaa kwa kutulia acha wafanyakaz tuanze kupumua kdogo
 
Mbona Mimi nina mkopo loan board na bado mwezi wa kwanza nimechukua mshahara wangu ukiwa vile vile?
 
Mpeni mama lite baridi tafadhali. Kwenye loan board nimekuta mabadiliko ya kushtukiza.
Hebu nifafanulie mkuu....mabadiliko yanakuwaje? Mbona mimi sioni?
 
Mbona Mimi nina mkopo loan board na bado mwezi wa kwanza nimechukua mshahara wangu ukiwa vile vile?
Umemuelewa mtoa mada, sio kwamba take home imeongezeka ila umelipiwa deni lako mara 2 ya rejesho la mwezi kama unadaiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…