Rais Samia afanya uteuzi mpya na mabadiliko ya viongozi, MwanaFA ateuliwa kuwa Naibu Waziri

Rais Samia afanya uteuzi mpya na mabadiliko ya viongozi, MwanaFA ateuliwa kuwa Naibu Waziri

Mkuu watanzania huwa tunashangaza. Hatujui hasa tatizo letu ni nini. Na tukiambiwa mara kesho tumelisahau. Bila wananchi wote kuzinduka na kuliondoa tatizo hakuna namna. Nchi inazidi kudidimia.
Sasa sijui tutaanza anzaje "kuzinduka" mkuu 'macho_mdiliko'?

Ni dhahiri kabisa kuwa kama nchi, tunatatizo kubwa katika eneo hili; kufanyike kitu/jambo gani kitakachostua kutoka kwenye hali hii mbovu?

Naona kama elimu pekee haisaidii kitu, maana mtu anaweza kudai kabisa na akasikilizwa kwamba siku hizi tunao watu wengi ndani ya nchi hii walioelimika kuliko nyakati zozote baada ya kujipatia uhuru wetu. Lakini ukiangalia tabia za watu utadhani ni nafuu ya wale waliokuwepo wakati tunajipatia uhuru wetu!

Ni nini kisichokuwepo miongoni mwetu?
 
Tatizo lenu mnapenda kukurupuka bila kujua mtu ka comment nini!!?
Comment yangu ya pale juu nimeirudia
Kama unaona hukueleweka ungefafanua sio matusi mshenzi wewe huna Ustaarabu koma kutukana watu kama ulivyokoma kunyonya ziwa la mama yako tuheshimiane hoja kwa hoja na sio matusi
 
Acha kupanick dogo. Shetani anatajwa popote.
Acha upumbafu wako mkuu, tumekuchoka kwani mwendazake alikupora mkeo, pambana na hali yako kumchukia kwako hakukuletei chakula mezani.
 
Acha upumbafu wako mkuu, tumekuchoka kwani mwendazake alikupora mkeo, pambana na hali yako kumchukia kwako hakukuletei chakula mezani.

Kwani ww ukimtetea au kumpamba ndio inakuletea chakula mezani? Hujachoka bado utachoka sana. Namna nzuri ni kuniweka kwenye ignore list, kinyume na hapo utakutana namponda tu yule kiongozi muovu.
 
Uchawi upo,pole Mashimba.Naibu waziri wako aliitaka sana nafasi yako hatimae kaipata. Ni kama Ridhiwan alivyokuwa anaitaka nafasi ya Angela Mabula.
Prof Makubi pale wizara ya Afya sijaona sababu kwaninj katoka, ila sipingani na Maamuzi ya Rais
 
Kachanganyikiwa huyu hajui hata afanye nini.
 
Nirasha Rasha tu ila waziri wa jungu na Tumbo wajiandae.🤐
Screenshot_20230225-203745.png
 
Hatujamaliza mwezi si wangeunganishwa na na hawa,pesa inapotea waalikwa kila saa wapo njiani kuwahi dodoma halafu wanalejea DSM.
 
Back
Top Bottom