Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 12,624
- 24,751
SGR itafika Mwanza mwaka 2050 wakati teknolojia imeshabadilika.
Ulimaanisha mwaka 2,500 au!???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SGR itafika Mwanza mwaka 2050 wakati teknolojia imeshabadilika.
Hawezi kukwepa kuwa mama kwanza. Usitegemee akafanana na watangulizi wake.Very very weak!
She likes to be a MAMA than a commander in chief!
Vile anavyojilegeza mbele ya MAJIZI na WAKWEPA KODI inanipa mashaka sana kama anaiweza kazi yake!
[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] muda wote kuandika negative kuhusu mama kwa bahati mbaya hauna uwezo wa kubadili chochote hihihihiUlimaanisha mwaka 2,500 au!???
Hahahaaaa..... bibi dhaifu huyo!Watu watasema ni ukatili. But Bi Mkubwa mwenyewe kasema ilitakiwa project iwe imefikia over 60% by now. Lakini iko less than 16%!!! And there is no good reason for that. Can you imagine!??? Halafu anamwambia kirahisi, ^Okay! Sawa!^ Kwa kweli tumepigwa!!! Sasa naanza kuielewa ile kauli: ^ Nafungulia nchi^ Haiko mbali na ^Ruksa^ ya Mzee Ruksa.
Watu Wana macho lkn hawaoni.
Mjerumani alijenga reli Dar mpk Kigoma 1400km kwa miaka mitano kwa tecnolojia ya zaidi ya miaka Mia.
Leo hii kwa teknolojia ya Sasa reli Dar to Moro chini ya km 200 inachukua miaka zaidi mitano.
Zakuambiwa changanya na zako.
sema walinz inabid wampe training mama hasa kwenye swala zima la kutembea maana mama anatembea haraka mno kiasi cha kumfanya awahi kuchoka mapema refer leo kariakoo alikuwa kabisa anahema kwa kuchoka baada ya kuzungukaRais Samia Suluhu Hassan amefanya ziara ya kustukiza katika soko la Kariakoo Dar es Salaam na kuongea na wafanyabisahara wa maeneo hayo
Magu hayupo tenaKamanda safi sana kuunga juhudi, sasa endelea hivyo hivyo.
JPM alikulia kwenye sekta ya ujenzi alikuwa na uzoefu wa maisha ya “kikuli” maisha ya site.Watu watasema ni ukatili. But Bi Mkubwa mwenyewe kasema ilitakiwa project iwe imefikia over 60% by now. Lakini iko less than 16%!!! And there is no good reason for that. Can you imagine!??? Halafu anamwambia kirahisi, ^Okay! Sawa!^ Kwa kweli tumepigwa!!! Sasa naanza kuielewa ile kauli: ^ Nafungulia nchi^ Haiko mbali na ^Ruksa^ ya Mzee Ruksa.
Mwanamke una ghubu wewe balaa!SSH ni bure, uwezo mdogo, akae mbali na mikusanyiko ambayo atahitaji kujibu maswali moja kwa moja, maana majibu yake yanaweza kukutapisha.
[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] muda wote kuandika negative kuhusu mama kwa bahati mbaya hauna uwezo wa kubadili chochote hihihihi
Ulitaka awepo au?Magu hayupo tena
JPM alikulia kwenye sekta ya ujenzi alikuwa na uzoefu wa maisha ya “kikuli” maisha ya site.
Huyu mama hana nguvu kwa upande huo, nguvu yake ni ya kidiplomasia zaidi.
Unataka kuwa mke mwenza?Mwanamke una ghubu wewe balaa!
Well and good.Hawezi kukwepa kuwa mama kwanza. Usitegemee akafanana na watangulizi wake.
Usitegemee kuuona ule ukauzu wa Hayati JPM huyu atasimamia zaidi urais wa kitaasisi.
Umelaaniwa wewe na ukoo wako tu na siyo nchiHizi nchi zilizolaaniwa zina vituko sana.
mkubali tu MamaUlitaka awepo au?
Una ghubu kali kwa mwanamke mwenzio! Tuliza makalio wacha afanye kazi. Usiwe mbovu.Unataka kuwa mke mwenza?
Yule ni size yako mkuu tunajuaMbowe sio size yako wewe, yule hata ufanye nini hamna kitu waweza.....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bavicha wapumbavu sana aisee!Sawa mama tuna imani nawe ila achia hera mitaani, bado mzunguko mdogo, maisha ni haya haya hatuitaji propaganda za flyover Barabara za njia 10 hayo yaje badaye Mama.
Hahahaaaa..... bibi dhaifu huyo!
Hiyo kazi mliyompa inamzidi uwezo wake. Tutamlaumu bure tu.
She is a very good mother, but not a president worth the name!
Anapoteza muda tu!
Wakati mwingine tutajifunza kuwa na Katiba sahihi inayotizama uchaguzi wa watu sahihi.