Rais Samia afanya ziara ya kushtukiza Kariakoo, Mbagala na Mwananyamala Jijini Dar

Rais Samia afanya ziara ya kushtukiza Kariakoo, Mbagala na Mwananyamala Jijini Dar

Very very weak!

She likes to be a MAMA than a commander in chief!

Vile anavyojilegeza mbele ya MAJIZI na WAKWEPA KODI inanipa mashaka sana kama anaiweza kazi yake!
Hawezi kukwepa kuwa mama kwanza. Usitegemee akafanana na watangulizi wake.

Usitegemee kuuona ule ukauzu wa Hayati JPM huyu atasimamia zaidi urais wa kitaasisi.

Ni mara chache kumuona akitukana watu au kuwavunjia heshima.
 
Watu watasema ni ukatili. But Bi Mkubwa mwenyewe kasema ilitakiwa project iwe imefikia over 60% by now. Lakini iko less than 16%!!! And there is no good reason for that. Can you imagine!??? Halafu anamwambia kirahisi, ^Okay! Sawa!^ Kwa kweli tumepigwa!!! Sasa naanza kuielewa ile kauli: ^ Nafungulia nchi^ Haiko mbali na ^Ruksa^ ya Mzee Ruksa.
Hahahaaaa..... bibi dhaifu huyo!

Hiyo kazi mliyompa inamzidi uwezo wake. Tutamlaumu bure tu.

She is a very good mother, but not a president worth the name!

Anapoteza muda tu!

Wakati mwingine tutajifunza kuwa na Katiba sahihi inayotizama uchaguzi wa watu sahihi.
 
Watu Wana macho lkn hawaoni.

Mjerumani alijenga reli Dar mpk Kigoma 1400km kwa miaka mitano kwa tecnolojia ya zaidi ya miaka Mia.

Leo hii kwa teknolojia ya Sasa reli Dar to Moro chini ya km 200 inachukua miaka zaidi mitano.

Zakuambiwa changanya na zako.

Ni kama umesema ukweli mchungu na mtupu, lakini hilo jina lako la Deceiver linanifanya niamini vinginevyo
 
Rais Samia Suluhu Hassan amefanya ziara ya kustukiza katika soko la Kariakoo Dar es Salaam na kuongea na wafanyabisahara wa maeneo hayo
sema walinz inabid wampe training mama hasa kwenye swala zima la kutembea maana mama anatembea haraka mno kiasi cha kumfanya awahi kuchoka mapema refer leo kariakoo alikuwa kabisa anahema kwa kuchoka baada ya kuzunguka
tunampenda sana rais wdtu
 
Watu watasema ni ukatili. But Bi Mkubwa mwenyewe kasema ilitakiwa project iwe imefikia over 60% by now. Lakini iko less than 16%!!! And there is no good reason for that. Can you imagine!??? Halafu anamwambia kirahisi, ^Okay! Sawa!^ Kwa kweli tumepigwa!!! Sasa naanza kuielewa ile kauli: ^ Nafungulia nchi^ Haiko mbali na ^Ruksa^ ya Mzee Ruksa.
JPM alikulia kwenye sekta ya ujenzi alikuwa na uzoefu wa maisha ya “kikuli” maisha ya site.

Huyu mama hana nguvu kwa upande huo, nguvu yake ni ya kidiplomasia zaidi.
 
JPM alikulia kwenye sekta ya ujenzi alikuwa na uzoefu wa maisha ya “kikuli” maisha ya site.

Huyu mama hana nguvu kwa upande huo, nguvu yake ni ya kidiplomasia zaidi.

Anachoweza ni kutumia ile kalamu nyekundu tu pale mezani kwa JPM, labda na kuwafyekelea mbali wazalendo wa kweli. Nothing more, nothing less!!!
 
Hawezi kukwepa kuwa mama kwanza. Usitegemee akafanana na watangulizi wake.

Usitegemee kuuona ule ukauzu wa Hayati JPM huyu atasimamia zaidi urais wa kitaasisi.
Well and good.

Lakini kwa jinsi hawa wakandarasi wetu wa Kiswahili walivyo wababaishaji — Bila kuwakimbiza na kuwarusha kichura chura hatuwezi kufika popote!

Na sio tu kwa wakandarasi, lakini hata maofisini kwenye taasisi za umma, waswahili ni wababaishaji mno wanahitaji kupelekwa kwa kasi na kwa shinikizo.

Without some heavy reinforcement, you will achieve nothing.
 
Sawa mama tuna imani nawe ila achia hera mitaani, bado mzunguko mdogo, maisha ni haya haya hatuitaji propaganda za flyover Barabara za njia 10 hayo yaje badaye Mama.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bavicha wapumbavu sana aisee!

Yani mnataka muwe mnaokota hela mtaani?
 
Hahahaaaa..... bibi dhaifu huyo!

Hiyo kazi mliyompa inamzidi uwezo wake. Tutamlaumu bure tu.

She is a very good mother, but not a president worth the name!

Anapoteza muda tu!

Wakati mwingine tutajifunza kuwa na Katiba sahihi inayotizama uchaguzi wa watu sahihi.

Don't forget kwamba anapoteza muda na rasilimali za nchi. JPM was a kind of nabii. Alisema tena na tena: ^Hakuna mtu mwingine wa kutekeleza miradi hii ya maendeleo.^ He was PERFECTLY right!!!
 
Back
Top Bottom