moto wa maji
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 4,151
- 2,979
Unajua maana ya fidia mkuu.?Nilitegemea aseme familia zao zilizo patwa na misiba zilipwe fidia. Angalau ningemuelewa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajua maana ya fidia mkuu.?Nilitegemea aseme familia zao zilizo patwa na misiba zilipwe fidia. Angalau ningemuelewa
Jamani si alikuwa na ziara ya wiki mbili au sivyoMkutano wa Cop28 ulinalizika 2/12/2023, hiyo ziara aliyokatisha Leo ni ipi?
Jee wewe ulitaka tumkubali anayevaa hirizi? Kwania Tasbihi na rozari tofauti yake nini?Hamkubari sababu havai rozari?
Eti amefupisha aendeele tu kula raha dunian kipi cha maana amekifuata huku na watu karibibia 700 hukoRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemuelekeza Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa kuwa serikali igharamie mazishi ya wote waliopoteza maisha kutokana na mvua kubwa iliyotokea na mafuriko katika Halmashauri ya Wilaya ya Hanang.
Rais Samia pia ametaka majeruhi wote ambao wapo kwenye hospitali mbalimbali wapate matibabu yote yanayostahili kwa gharama za Serikali, huku vyombo vya ulinzi na usalama vikiendelea kutoa msaada wa dharura na uokoaji.
Aidha Rais Samia ameelekeza Serikali ya Mkoa na Kitengo cha Maafa cha Ofisi ya Waziri Mkuu kuhakikisha wananchi wote ambao makazi yao yamesombwa na maji wapate makazi ya muda kwa ajili ya kuwastiri wananchi hao.
Maafa haya yameathiri mji wa Katesh hususan vijiji vya Jorodom, Ganana, Katesh na Dumbeta na pia vijiji vya Gendabi, Sarijandu, Arukushay, na Sebasi.
Kwa taarifa za awali nyumba na mifugo imeathirika sana huku idadi za kaya zilizoathirika ni 1,150, idadi ya watu walioathirika hadi sasa ni 5,600 na pia ikikadiriwa takriban ekari 750 za mashamba zimeharibika.
Licha ya changamoto kadhaa zilizokuwepo uokoaji unavyoendelea ikiwemo barabara kuharibika huku tope na magogo kujaa barabara kuu na mitaani na kusababisha mawasiliano kukatika, serikali inajitahidi kukabiliana nazo.
Idadi ya vifo hadi sasa ni zaidi ya watu 50 huku majeruhi waliopelekewa katika hospitali mbalimbali za wilaya, mkoa na vituo vya afya ni zaidi ya 80.
Wakati huo huo Rais Samia ameelekeza tathmini ya kina ifanyike juu ya maafa hayo na vitengo na taasisi zote za Serikali zinazohusika kuwepo eneo la tukio na kufanya kazi usiku na mchana ili kuhakikisha hali inarejea kawaida.
Rais Samia anatoa pole kwa wafiwa wote kutokana na msiba mkubwa uliowakumba na pia anawahakikishia wananchi walioathirika kuwa serikali iko pamoja nao na itahakikisha inashughulikia masuala yote yaliotokana na janga hili.
Rais Samia ambaye amekuwepo Dubai kwa ajili ya Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi (COP28) ameamua kufupisha safari hiyo na kurejea nchini haraka iwezekanavyo ili kushughulikia kwa karibu janga hilo.
View attachment 2832970
View attachment 2832974
Nakumbuka tetemeko la ardhi kule Kagera yule mwovu alisema siyo yeye wala serikali yake walioleta tetemeko hilo hivyo serikali haiwezi kugharamia hata senti tano. Hakika mtu yule alikuwa mwovu kuliko uovu wenyewe.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemuelekeza Waziri Mkuu, Mhe. Kassim
Kitapanya kodi zetu halafu wakikaa wanadai chi haina dolla pumbafu zaoHakuna la maana amefanya huko
Ila nyie watu mnamatatizo sana.hivi sijui kama mnakumbuka mwendazake hata zile hela za watu wanaochangia kusaidia wahanga kule bukoba alizichukua na mwisho aliwaambie kama tetemeko limebomoa na nyie tetemekeni mjenge..!!Hakuna la maana amefanya huko
Haraka iwezekanavyo ndio vipi. Huyu arejee mara moja sio kuendelea kuwepo dubai kitu wala sio tija kwa nchi. Tuna gesi mafuta na makaa ya mawe matajiri wanakuja na mpango kuacha hizo nishati ili wakuuzieni magari ya umeme. Juzi tu wamesusa nishati za mafuta na gesi ya urusi wamerejea kwenye umeme wa nuclea wakati tuliambiwa ni hatari. Kwenye hiyo mikutano kuna mambo tunapelekeshwa sijui samia wala ana uwezo kuwakilisha maslahi ya nchi au ni kufungwa tela tu na mabeberuRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemuelekeza Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa kuwa serikali igharamie mazishi ya wote waliopoteza maisha kutokana na mvua kubwa iliyotokea na mafuriko katika Halmashauri ya Wilaya ya Hanang.
Rais Samia pia ametaka majeruhi wote ambao wapo kwenye hospitali mbalimbali wapate matibabu yote yanayostahili kwa gharama za Serikali, huku vyombo vya ulinzi na usalama vikiendelea kutoa msaada wa dharura na uokoaji.
Aidha Rais Samia ameelekeza Serikali ya Mkoa na Kitengo cha Maafa cha Ofisi ya Waziri Mkuu kuhakikisha wananchi wote ambao makazi yao yamesombwa na maji wapate makazi ya muda kwa ajili ya kuwastiri wananchi hao.
Maafa haya yameathiri mji wa Katesh hususan vijiji vya Jorodom, Ganana, Katesh na Dumbeta na pia vijiji vya Gendabi, Sarijandu, Arukushay, na Sebasi.
Kwa taarifa za awali nyumba na mifugo imeathirika sana huku idadi za kaya zilizoathirika ni 1,150, idadi ya watu walioathirika hadi sasa ni 5,600 na pia ikikadiriwa takriban ekari 750 za mashamba zimeharibika.
Licha ya changamoto kadhaa zilizokuwepo uokoaji unavyoendelea ikiwemo barabara kuharibika huku tope na magogo kujaa barabara kuu na mitaani na kusababisha mawasiliano kukatika, serikali inajitahidi kukabiliana nazo.
Idadi ya vifo hadi sasa ni zaidi ya watu 50 huku majeruhi waliopelekewa katika hospitali mbalimbali za wilaya, mkoa na vituo vya afya ni zaidi ya 80.
Wakati huo huo Rais Samia ameelekeza tathmini ya kina ifanyike juu ya maafa hayo na vitengo na taasisi zote za Serikali zinazohusika kuwepo eneo la tukio na kufanya kazi usiku na mchana ili kuhakikisha hali inarejea kawaida.
Rais Samia anatoa pole kwa wafiwa wote kutokana na msiba mkubwa uliowakumba na pia anawahakikishia wananchi walioathirika kuwa serikali iko pamoja nao na itahakikisha inashughulikia masuala yote yaliotokana na janga hili.
Rais Samia ambaye amekuwepo Dubai kwa ajili ya Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi (COP28) ameamua kufupisha safari hiyo na kurejea nchini haraka iwezekanavyo ili kushughulikia kwa karibu janga hilo.
View attachment 2832970
View attachment 2832974
Acha ujinga wewe,maumivu wanayopitia watu hayamithiliki,wewe unakuja na upuuzi,acha unafiki wewe popoma wa LumumbaDar Young Africans wawapa pole WANANCHI wa Hanang
Ziara ya kikazi ambayo hakuna anayeijua ndani ya serikali wala chama?Hujasikia jana kuwa VP yuko ngambo kwa ziara ya kikazi!?
Hujamsikia waziri mkuu auZiara ya kikazi ambayo hakuna anayeijua ndani ya serikali wala chama?
Katika watu ambao.imani yangu imeshuka katika kutoa taarifa sensitive za serikali ni huyu..Hujamsikia waziri mkuu au
Uko Sawa kichwani kweli? Yaani wenzako wapo kwenye maafa wewe unaleta kampeni za 2025. Nadhani kwa chapisho hili ni definition ya ujinga inayojitosheleza kwakoMhe. Rais Akatisha Safari yake ya Nje ya Nchi kwaajili tyuu ya Watanzania Waishio Manyara waliopata Janga la Mafuliko huko Manyara.
#2025 ni Samia Suluhu Hassan tena
#2025 Mimi na Kijiji Changu Tutakulipa Samia.
#2025 Tumepata Suluhuhisho na Samia
Nje ya maada kidogo...Mkuu wewe ni Ke?Mhe. Rais Akatisha Safari yake ya Nje ya Nchi kwaajili tyuu ya Watanzania Waishio Manyara waliopata Janga la Mafuliko huko Manyara.
#2025 ni Samia Suluhu Hassan tena
#2025 Mimi na Kijiji Changu Tutakulipa Samia.
#2025 Tumepata Suluhuhisho na Samia