Rais Samia afupisha ziara yake Dubai kurejea nchini haraka iwezekanavyo, Serikali kugharamia mazishi na matibabu ya majeruhi wa mafuriko ya Hanang

Rais Samia afupisha ziara yake Dubai kurejea nchini haraka iwezekanavyo, Serikali kugharamia mazishi na matibabu ya majeruhi wa mafuriko ya Hanang

Atakuwa anakuja kwa punda wa makonda kama hadi kufikia asubuhi tarehe 5 alikuwa hajaonekana pale Hanang
 
Uzuri wa Serikali ya CCM ikipewa ushauri na vyombo vinavyo husika vya maafa kabla ya tukio halija tokea. Inaweka pamba masikioni mpaka kukitokea majangaa ndio inakuwa mstari wa mbele katika kushughulikia waliopatwa na hayo majangaa hiyo ndio Serikali ya CCM inavyofanya kazi.
UNAWEZA KUTUONYESHA NISEHEMU GANI TMA WALISEMA YATATOKEA MAAFA KAMA HAYO HUKO HANANG
 
Ingekuwa Pemba angeshafika siku nyingi.
Rais wa zambia mwenyewe alikatisha ziara yake huko dubai na karudi zambia kutembelea na kujionea maafa yaliyotokea huko kwenye copperhead
Je rais wetu mpendwa hafiki tu

Ova
 
Back
Top Bottom