Rais Samia afuturisha Viongozi na Makundi mbalimbali leo Aprili 15, 2023

Sildenafil Citrate

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2021
Posts
577
Reaction score
2,595

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika Ukumbi wa Kikwete kwa ajili ya Kufutarisha Viongozi pamoja na Makundi mbalimbali, Ikulu Jijini Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa pamoja na Kaimu Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam Walid Alhad Omar
Mahasimu wa jadi Simba na Yanga wakutana kwenye Futari Ikulu Jijini Dar es Salaam, wa kwanza kulia ni Rais wa Yanga Eng. Hersi Said, Mwenyekiti wa Bodi ya Simba Salim Abdallah (Try again) wa pili kutoka kulia pamoja na Mfadhili na Mdhamini wa Yanga Ghalib Said Mohamedwa pili kutoka kushoto wakiwa Ikulu Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya Futari iliyoandaliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan. Wakwanza kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Ilala Mhe. Edward Mpogolo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akifurahia jambo na Mama Janeth Magufuli
 
View attachment 2589120
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika Ukumbi wa Kikwete kwa ajili ya Kufutarisha Viongozi pamoja na Makundi mbalimbali, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 15 Aprili. 2023.
Yaan CAG analalama pesa za watanzania zinapotea yeye anakenua meno na kutumia pesa za walipa kodi kuandaa maftari!

she's misfit to the position!
 
Amepona bila shaka.
 
Wanasema kufuturisha inatakiwa iwalenge wenye uhitaji. Ila hapo naona kina GSM.

Hivi hawa wana hitaji hicho chakula cha sadaka kweli au mambo ya kupeana tu fahari za dunia na sio akhera kama tunavyotaka kuaminishwa?
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwasili katika Ukumbi wa Kikwete kwa ajili ya Kufutarisha Viongozi pamoja na Makundi mbalimbali, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 15 Aprili. 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akifurahia jambo na Mama Janeth Magufuli wakati wakitoka kwenye Futari, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 15 Aprili. 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa pamoja na Kaimu Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam Walid Alhad Omar wakati wa Futari Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 15 Aprili. 2023.


Viongozi mbalimbali, Wasanii, Wahariri wa vyombo vya Habari pamoja na Wageni wengine wakiwa kwenye ukumbi wa Kikwete kwa ajili ya Futari Ikulu Jijini Dar es Salaam. Futari hiyo iliandaliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan tarehe 15 Aprili 2023.
 
Balile ni mbwa kama mbwa zingine, mwandishi mpuuzi naye nasikia ni wale wa upinde wa mvua

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app

Matusi hayajengi , onesha kwanini Balile ni mbwa na haya ya upinde wa mvua umeyajuaje ? Siku hizi mkimchukia mtu mnamsingizia kuwa msenghe ndio gia yenu mpya wafirwaji nyie!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…