Rais Samia afuturisha Viongozi na Makundi mbalimbali leo Aprili 15, 2023

Rais Samia afuturisha Viongozi na Makundi mbalimbali leo Aprili 15, 2023

View attachment 2589120
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika Ukumbi wa Kikwete kwa ajili ya Kufutarisha Viongozi pamoja na Makundi mbalimbali, Ikulu Jijini Dar es Salaam
View attachment 2589122Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa pamoja na Kaimu Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam Walid Alhad Omar
View attachment 2589125Mahasimu wa jadi Simba na Yanga wakutana kwenye Futari Ikulu Jijini Dar es Salaam, wa kwanza kulia ni Rais wa Yanga Eng. Hersi Said, Mwenyekiti wa Bodi ya Simba Salim Abdallah (Try again) wa pili kutoka kulia pamoja na Mfadhili na Mdhamini wa Yanga Ghalib Said Mohamedwa pili kutoka kushoto wakiwa Ikulu Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya Futari iliyoandaliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan. Wakwanza kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Ilala Mhe. Edward Mpogolo

View attachment 2589127 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akifurahia jambo na Mama Janeth Magufuli
Asante Kwa taarifa. Ni mtu mmoja tu Tanzania hii alikuwa anawaona hata walemavu.
Matajiri aliwaacha wajijue.
Waliokuwa masikini ndio walikuwa wanapata Toka Kwake na tangu ameenda mbele ya haki hatujasikia cha walemavu/ wajasiriamali wenye ndoto za maisha.! Ila Kwa kuvuta mpunga kwenye nafasi zao ndio inatisha!
Pumziko Kwa amani mjali wachini kipenzi cha wengi E. Mengi.
 
Huyu Mama ameanza kupoteza focus ,unawapaje futari watu wa hivyo wamevaa hereni wazinifu diamond na harmonize kutwa kujisifu kueneza Uzinzi na Ushoga , leo amezingua Sana.
Yaan kila afanyacho sio chema, wavaa hereni yy ni Mungu? Uislam unatuambia kila mmoja atehesabiwa mema na mabaya yake siku ya KIYAMA.
 
Good day...Very Good day...
Mkuu Big boss hii sio sahihi dini imeongea wazi ni kwa wenye uhitaji Hawa kina Gsm mama Magufuli(futari na yeye wapi na wapi) nk hii ni rihaa tu aina maana yoyote kidini zaidi zaidi anachuma dhambi

Ila kama ni mambo ya kisiasa sawa ngoja nili daku maana huu ni muda muafaka nijilalie
 
yaan CAG analalama pesa za watanzania zinapotea yeye anakenua meno na kutumia pesa za walipa kodi kuandaa maftari!

she's misfit to the position!
Kielelezo cha .....wani. Umefanya utafiti lini kuona hizo ni pesa zako? Kama hujui uliza. Viongozi wote wana fungu la kufanya tafrija, ila wengine wanaamua kuzitumia katika mambo yao. Hao ndio unaowapenda?!
 
View attachment 2589120
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika Ukumbi wa Kikwete kwa ajili ya Kufutarisha Viongozi pamoja na Makundi mbalimbali, Ikulu Jijini Dar es Salaam
View attachment 2589122Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa pamoja na Kaimu Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam Walid Alhad Omar
View attachment 2589125Mahasimu wa jadi Simba na Yanga wakutana kwenye Futari Ikulu Jijini Dar es Salaam, wa kwanza kulia ni Rais wa Yanga Eng. Hersi Said, Mwenyekiti wa Bodi ya Simba Salim Abdallah (Try again) wa pili kutoka kulia pamoja na Mfadhili na Mdhamini wa Yanga Ghalib Said Mohamedwa pili kutoka kushoto wakiwa Ikulu Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya Futari iliyoandaliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan. Wakwanza kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Ilala Mhe. Edward Mpogolo

View attachment 2589127 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akifurahia jambo na Mama Janeth Magufuli
Mwenye nacho huongezewa, asiye kuwanacho hata kile kidogo hunyang'anywa! Ebu angalia orodha ya wageni waalikwa, katika hiyo iftari ni ya walewale wanaoifaidi siku zote keki ya taifa.

Hivi katika nchi nyingine majirani na sisi marais wao pia huwa wanafanya hivi? Mimi nafikiri masuala kama haya ya kidini yawe ya mtu binafsi, tena yanyike kama faragha ya Rais na familia yake akiwa nyumbani kwake, na akiwaalika wageni wake isiwe ni taarifa rasmi kwa umma.
 
Wanasema kufuturisha inatakiwa iwalenge wenye uhitaji. Ila hapo naona kina GSM.

Hivi hawa wana hitaji hicho chakula cha sadaka kweli au mambo ya kupeana tu fahari za dunia na sio akhera kama tunavyotaka kuaminishwa?
Kufuturisha kumepoteza maana sasahivi, imekuwa fashion tu
 
Wewe sio Mungu, hakina faida nani amekuambia?
Jamani si Allah ametupa muongozo ili tusipoteee?,isome Qur-an na hadithi za mtume utajua anachokisema.Allah amesema ukiona uovu kuna njia tatu 1.kuondoa kwa mikono 2.kuongea kwa mdomo na 3.kukasirika kwenye nafsi lakini hiyo akasema udhaifu wa kiimani.Sasa unataka kuwatetea hao wakina Mkndi na Harmonize wakati wanafanya machafu waziwazi?

Sent from my TECNO KA7O using JamiiForums mobile app
 
Kuna watu hawajui maana ya futar wala maana ya Sadaka wanachanganya mambo humu. Mama endelea, ikikupendeza iendelee mpaka Eid Sita nitakua mjini nifike Magogoni.
JamiiForums1865396308.jpg
 
Mwenye nacho huongezewa, asiye kuwanacho hata kile kidogo hunyang'anywa! Ebu angalia orodha ya wageni waalikwa, katika hiyo iftari ni ya walewale wanaoifaidi siku zote keki ya taifa.

Hivi katika nchi nyingine majirani na sisi marais wao pia huwa wanafanya hivi? Mimi nafikiri masuala kama haya ya kidini yawe ya mtu binafsi, tena yanyike kama faragha ya Rais na familia yake akiwa nyumbani kwake, na akiwaalika wageni wake isiwe ni taarifa rasmi kwa umma.
Hivi we akifanya hivi unapungukiwa na nini Kama sio chuki za kidini?
 
Back
Top Bottom