BIG STONE AND CONER STONE
JF-Expert Member
- Mar 11, 2023
- 421
- 728
Moja wapo Nan? Kama unaona chuki iliyopo moyoni mwa mwenzako Basi nawe Ni wa kwanza uliyo nayo c et!!au nasema uwongo?Kuna watu wanachukia kuona hii picha
Ukiona kibanzi Basi ww unalo bori
Hivi wewe mtu hiyo chuki IPO wapi? Pongezi nazo Ni chuki? Kusema mitaala ya Kirumi ilikosea Ni chuki? Vitabu vya zamani vilikuwa na mfumo dume kusema may be kulikuwa na makosa Ni vibaya! Juu ya Yote kwani wajua nazungumzia nchi gani nisio itaja? Kwani kwa taarifa yako' hujui Kuna watu wako nje ya nchi na wapo Hapa jm! Acha prediction tumia weledi!nadhani Tatizo sio futari wala kufuturisha kwa kuwa hayo yamekuwa yakifanywa na tawala zote na siku hizi hata Madola makubwa kama Marekani nayo State house zao wanafuturisha
Chuki yako na wenzio ni chuki tegemewa japo siku hizi kidooogo mmegawanyika kuna kundi fulani limeanza kuwapuuza kila mkipika fitna 'wanazima moto '