Rais Samia afuturisha Viongozi na Makundi mbalimbali leo Aprili 15, 2023

Rais Samia afuturisha Viongozi na Makundi mbalimbali leo Aprili 15, 2023

yaan CAG analalama pesa za watanzania zinapotea yeye anakenua meno na kutumia pesa za walipa kodi kuandaa maftari!

she's misfit to the position!

Unaonekana una roho mbaya na akili ndogo sana.

1.5 tn ilikwenda na maji akaishia kufukuzwa kazi whistle-blower na hakuna kitu ulisema, huyu Mama anatumia akili sana katika kudeal na mambo ya uongozi.
 
He is one of the best journalists this country has ever produced! Wewe lazima utakuwa chawa wa hawa mafisadi yaliyolundikana kwenye hiyo Futari!! Ajabu na Kweli VASCO DAGAMA kakosekana kwenye kufuturu kwa Samia!!!
Balile ni Said Kubenea wa awamu ya sita …vuta subira na tuombe uzima tu Mkuu! siasa na harakati zinazohusiana na Siasa za Nchi hazipatikani popote mwingine
 
yaan CAG analalama pesa za watanzania zinapotea yeye anakenua meno na kutumia pesa za walipa kodi kuandaa maftari!

she's misfit to the position!
Hiyo fedha ni kutoka kifungu cha matumizi binafsi ya Rais.

Haina kwere hiyo.

Tubadilishe Katiba kila fedha iwe accountable
 
Nchi imekuwa ya Kidini hii Napongeza kwa Hilo , unajua Warumi walikosea kutenganisha dini na serekali ,kutenganisha masuala ya Imani na serikali,Unajua vitabu vya Dini vulikosea kutenganisha mwanamke na uongozi'' utawala mkuu na mwanamke vitabu huenda vilikosea bila shaka vilikosea.
nadhani Tatizo sio futari wala kufuturisha kwa kuwa hayo yamekuwa yakifanywa na tawala zote na siku hizi hata Madola makubwa kama Marekani nayo State house zao wanafuturisha

Chuki yako na wenzio ni chuki tegemewa japo siku hizi kidooogo mmegawanyika kuna kundi fulani limeanza kuwapuuza kila mkipika fitna 'wanazima moto '
 
Wakristo 80% wanawachukia waislam
Hasa wale masikini masikini ambao makuzi yao ya utotoni wametokea Bush hawana exposure ya kujichanganya na watu tofauti tofauti

Mtoto aliezaliwa mjini akajikuta kila kwny michezo mashulen na mambo mengine kazungukwa na watu wa imani na kabila tofauti huwezi kukuta una ushamba shamba wa namna hiyo
 
Mimi sio muislamu lakini nasikiliza Sana mawaidha ya masheik au ma imam siku ya ijumaa kupitia kwenye maspika na masabufa yaliyoenea hapa kijijini kwetu.
Mmoja juzi hii mbichi aliwaasa waislamu kuhusu SADAQ na kufuturisha.
Alisema kwenye sadaq Kama ukimpa swahiba wako au mchepuko wako hiyo SADAQ haihesabiwi. Unatakiwa uwape wenye uhitaji. Lakini pia akasema Kama unataka kufuturisha, Basi tafuta watu wenye uhitaji wa hiyo futari Kisha wafuturishe ikiwezekana jumuika nao lakini pia akasisitiza, usipige nao picha ili ujitangaze kwamba ulifuturisha. Mola wako anajua ulichokifanya binadamu unawatangazia ili iweje.
Mwisho akasisitiza hata ukifunga usipende watu wajue kwamba umefunga, kwa kununa, kulalamikia swaumu n.k. Mola wako ndio anapaswa kujua etc etc.
Sio kazi yangu kujua Kama fulani anahitaji kufuturishwa au la.
 
Wanasema kufuturisha inatakiwa iwalenge wenye uhitaji. Ila hapo naona kina GSM.

Hivi hawa wana hitaji hicho chakula cha sadaka kweli au mambo ya kupeana tu fahari za dunia na sio akhera kama tunavyotaka kuaminishwa?
Kwamba kufuturisha yatakiwa iwe kwa masikini tu?
Kama wewe ni masikini huna sababu ya kufunga
 
View attachment 2589120
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika Ukumbi wa Kikwete kwa ajili ya Kufutarisha Viongozi pamoja na Makundi mbalimbali, Ikulu Jijini Dar es Salaam
View attachment 2589122Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa pamoja na Kaimu Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam Walid Alhad Omar
View attachment 2589125Mahasimu wa jadi Simba na Yanga wakutana kwenye Futari Ikulu Jijini Dar es Salaam, wa kwanza kulia ni Rais wa Yanga Eng. Hersi Said, Mwenyekiti wa Bodi ya Simba Salim Abdallah (Try again) wa pili kutoka kulia pamoja na Mfadhili na Mdhamini wa Yanga Ghalib Said Mohamedwa pili kutoka kushoto wakiwa Ikulu Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya Futari iliyoandaliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan. Wakwanza kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Ilala Mhe. Edward Mpogolo

View attachment 2589127 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akifurahia jambo na Mama Janeth Magufuli
Mh ngoja wazee wa legacy waje 🤣🤣 hapatatosha leo 🤣🤣🤣
 
Yaan kila afanyacho sio chema, wavaa hereni yy ni Mungu? Uislam unatuambia kila mmoja atehesabiwa mema na mabaya yake siku ya KIYAMA.
Kwa hiyo masheikh wanapokemea maovu kwa waumini na jamii wanajipendekeza sio? Tusubiri tu mpk siku mtu afe Mungu aamhe mwenyewe cha kumfanya? Wacha kutetea ujinga kufuturisha ni kwa wahitaji sio hao aliowaita mama.
 
Back
Top Bottom