Rais Samia aiingiza Tanzania kwenye orodha ya nchi 10 tajiri Afrika 2021

Tutafika uchumi wa juu huku watu ni masikini na wanashinda na njaa kila siku
 
Ni kipi hicho alichofanya pato likaongezeka ili tumshauri rais kagame nae afanye hivyo
 
Tanzania yangu Mungu akusimamie wewe na Rais wako
 
Si kweli. Tanzania iliingia kwenye nchi 10 tajiri Afrika siku nyingi. Isipokuwa huwa inasuasua mwaka hadi mwingine. Katika kimbindi cha Hayati Buldozer, ilikuwa overtaken by Ghana. Labda unachosema ni kuwa sasa inaelekea kurudi kwenye nafasi yake na kuipiku Ghana. Hilo litaonekana mwishoni mwa mwaka huu.
 
Kama mambo ndio haya basi Tanzania kama kuna wakati tumepata Rais bora na wa kweli nadhani ni sasa,Tufanye kazi kwa bidii sana,

Hakika huyu Mama ni Mpango wa Mungu,

#WATANZANIA TUFANYE KAZI KWA BIDII
 
Kama mambo ndio haya basi Tanzania kama kuna wakati tumepata Rais bora na wa kweli nadhani ni sasa,Tufanye kazi kwa bidii sana,

Hakika huyu Mama ni Mpango wa Mungu,

#WATANZANIA TUFANYE KAZI KWA BIDII
 
Hiyo GDP siyo mizania halisi ya kupima utajiri wa nchi kwa sababu unaweza ukawa na GDP kubwa lakini watu wako wengi wanashindwa kumudu gharama za maisha na wanalala mitaroni, na ndio ilivyo kwa sisi Tanzania.
 
Kwani GDP maana yake ni nini mkuu?
 
Kazi nzuri mno hii,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…